Recent content by Nyamtinga

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Ukweli ndio huo, wajita ni hatariiiii ogopaaaaaa! Me najaa hapa Kijiji Chao kimoja kinaitwa Rusoli, Wilaya ya Musoma vijijini, Kila nyumba utaambiwa ni wachawi, usikae nao na huyo anaekuambia utaambiwa yeye ndio balaa, na wanapenda ngono ni hatariiiii, ogopaaaaaa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Nashukuru, ila Kwa muda aliosema nivitafute hivyo vitu nimepata tayari hiyo NIDA na Passport, nangaa Mimi!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Asante sana mkuu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Asante sana kaka [emoji120] ninalifanyia kazi hili
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Hakika, hakika ni wa kumkataa huyu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Asante huy me nimemkataa, ila Kifaransa pia ni lugha official canada
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Kusoma mambo mengi tu, mojawapo ni reasoning ambayo kabla sijafanya maamuzi nimeamua, kujiridhisha
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Ni form ya VISA mkuu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Ni ukweli Sina uzoefu wa mambo hayo, na ndio maana nimeona humu kuna wenye uzoefu mnisaidie
  10. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Kwa nini mkuu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Asante sana
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Ni kweli hao majamaa wa Lagos hawafai, japo nimeona nisikurupuke kwanza, niulizie uhalisia naona sasa nimpotezee tu kabla sijalizwa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Nashukuru Hali haijawa mbaya, nimestuka
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Shukrani sana
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Ha ha ha, ushauri mzuri nimejifunza.
Back
Top Bottom