. Mr Fitinamwiko: you are missing a point. Bunch of crooks will never make an uneconomic decision be economic!! Let them rush thinking they are punishing us! but time will tell.
Mheshimiwa Zitto ni mtu anapendelea kusikika kwenye vyombo vya habari. Sasa asiposikika tu huwa lazima aje na jipya ili aandikwe au aonekane kwenye TV!!
. Bwana Otieno you can't eliminate CCM nor its ideals. CCM ideals is written in its constitution so how can you eliminate them. After all CCM's ideals are good what we need to do is for us Tanzanians to work hard.
Mie sioni kama hoja yake ni ya kipuuzi. Mbona huwa kuna marriage of convenience. Watu wanakubaliana kuwa pamoja kwa ajili ya suala Fulani na suala hilo likiisha makubaliano yanakufa. Kuna sie tulivyotawaliwa na Wakoloni wa Kijerumani na Kiingereza tuliwakubalia! Hapana. Muda ulipofika tuliachana...
Muda umepita tangu tusome kwenye magazetikuwa upo mpango kabambe wa Wizara ya Nishati wa kutoa elimu ya ngazi yadi PhDkatika masuala mazima ya sekta ya gesi asilia na Mafuta yaani utafutaji wake, uendelezaji wake,uchimbaji wake na usimamizi wake. Hivi wamefikia wapi?
Hili suala laelimu ni...
CEO of RoundTable of Tanzania, Mr Mfuruki, is of the view that empowering Tanzanians in oil and gas exploration should go beyond just a few Tanzanian Individual being allocated exploration block (the famous Vitalu vya gesi vitakavyoanza kuwa mnadani mwezi Oktoba 2013). Let us discuss this.
Hakili ya mtu haiendani na unachosomea bali na kuelewa unachosoma!! Kama wenye akili ni wale waliosomea Engineering tu, kweli dunia hii ingekuaje? Ingendeshwa kwa mitambo tu, hakuna madaktari kutibu watu, hakuna watu wa kufurahisha jamii kama wanamziki, nakadhalika. Ingekuwa dunia!! Uelewa wa...
Wana JF: Hizi hoja za Prof Muhongo naona kama tunazijadili kwa hasira na mwisho wake watu wanaanza kutoa matusi makubwa! Je, hizi ni hasira za wivu au hasira za ukweli? Hoja tungezijadili tukiwa impartial yaani bila kuegemea upande. Na hapo tungepata mawazo mazuri. Ukipitia hoja za wengi...
. Bwana M2flan: Ikulu ni Ofisi ya Mtawala wa nchi aliyechaguliwa na wananchi. Wakati akiwa hapo kwa idhini ya wananchi waliomtawala ana haki ni kualika watu ambao anaona wanafaa. Hata wewe kwako ukimwalika mtu na akaja akakosa kuheshima mahali pako utamwalika tena! Jamani tujaribu kujenga hoja...
. Kiranga! Hivi wewe ukielezwa ukweli unavunjika moyo!! Mie nilidhani ukweli unatusaidia kujitambua na kutafuta namna ya kujikomboa. Mtu akinieleza kuwa wewe Nyamranga ni masikini. Na kweli najijua mie ni masikini. Hivi kwa nini nisikubali. Eti nianze kusema nimedharauliwa. Au nimevunjwa moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.