Ukapimwe IQ aisee kama hata kujiongeza kidogo umeshindwa,kwa picha ya leo kweli umeona any threat ya kutumia nguvu yoyote kwa hivyo vyombo achilia nguvu kubwa, mngeacha kumsumbua mtoa uzi mkaanzishe za kwenu na nyie muunge unge ,acheni wanaoelewa anachoandika ,sio kila info ni kwa kila mtu...