Recent content by nyamisati

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nikiona vijana waliopiga pesa kwenye tech miaka ya 2000–2010 leo wanahangaika, najifunza kuwa hakuna ujuzi unaopitwa haraka kama wa teknolojia

    Umenikumbusha fundi saa.. nakumbuka wakati miaka ya 2000s pale songea mjin alkua fundi saa maarufu anaitwa mate matembo..sjui bado yupo yaan niliambiwa yeye ndio mtaalamu wa kurekebisha saa..sjui kama bado yupo .. ila hawa genZ ukiwaambia zamani Habari ya mjini no kua na saa ....kama ilivyo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi/Fursa ya Kipato Songea, Mkoa wa Ruvuma

    Anza kazi ya kujitolea kutangaza biashara ya Asante mama ..nahakika hatokutupa hapo songea ni miongoni mwa wawekezaji wakubwa .
Back
Top Bottom