Ndo ukwel or uliza vzr wanaojua cm c8 camera nyuma megpxl 13 mbele megpxl 5 wakat c7 ina 13 kwa zote yan nyum na mbele, c8 RAM ni 1gb...wakat c7 ni 2 gb afu bado tubishane ndugu yangu ila km uwezo ni ukubwa utakua sawa mana ilichozid c8 ni ukubwa tuu zaid ya hapo haina cha kuizid c7 zaid imezidiwa.
Siyo tu kwa pics 30 hata moja uuze 130 hiyo hiyo usifanye bei y jumla ha ha haa so kwa huyo wa 30 mfanyie hata 110 hivii pics wataotak moja moj ndo 130..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.