- Thread starter
- #21
Jamaa anatak pics 30 muelekezen utafit wa nin tena na mambo y uhakika hayo.Kwel naona ajafanya utafiti wa kutosha
Jamaa anatak pics 30 muelekezen utafit wa nin tena na mambo y uhakika hayo.Kwel naona ajafanya utafiti wa kutosha
Ok karibu bossNtakuchek
Siyo tu kwa pics 30 hata moja uuze 130 hiyo hiyo usifanye bei y jumla ha ha haa so kwa huyo wa 30 mfanyie hata 110 hivii pics wataotak moja moj ndo 130..Njoo Dukani kwangu hapa posta nitakupa kwa laki na ishirini na nane kwa pic 30
Nimeshamwambia aje kama yupo serious anichek inbox nampa tecno w3 lite kwa 130 mpya kabisa na risiti juuSiyo tu kwa pics 30 hata moja uuze 130 hiyo hiyo usifanye bei y jumla ha ha haa so kwa huyo wa 30 mfanyie hata 110 hivii pics wataotak moja moj ndo 130..
Haya mweny duka la simu posta, ha ha haaaaaaaNimeshamwambia aje kama yupo serious anichek inbox nampa tecno w3 lite kwa 130 mpya kabisa na risiti juu
Anataka tuone churaaMbona umeigeuza makalioni?au haina screen?
Nicheck boss 0715523866TECNO BOOM J8 160