Tecno W4 used 1 month, bei 150k

Tecno W4 used 1 month, bei 150k

Hiyo simu sold tayar tangu jana saa mchana. ..kuna mtu kaiona hapa na kashanunua..nina tecno C 8 used for 190000...na lenovo s850 for 120,000 serious buyer nipm.

Piga picha kama za juzi tuwekee tujionee.
 
Hiyo simu sold tayar tangu jana saa mchana. ..kuna mtu kaiona hapa na kashanunua..nina tecno C 8 used for 190000...na lenovo s850 for 120,000 serious buyer nipm.
Biashara imenoga sasa
 
Hiyo simu sold tayar tangu jana saa mchana. ..kuna mtu kaiona hapa na kashanunua..nina tecno C 8 used for 190000...na lenovo s850 for 120,000 serious buyer nipm.
Naitaka hyo C8 nakupatajee???
 
Haziuzwi hizo lkn hahahah

Ubora wa duka ni mazingira mkuu, unashangaa maduka mawili yamepakana na yanauza vitu sawa kwa bei sawa ila wateja wengi wanakuwa wanaenda duka moja tu, siri ni mpangilio na usafi wa duka kwa ujumla.
 
Doh
 
Au vipi?
 
Attachments

  • IMG_20170126_111554.jpg
    IMG_20170126_111554.jpg
    33.4 KB · Views: 44
  • IMG_20170126_111509.jpg
    IMG_20170126_111509.jpg
    27.9 KB · Views: 43
  • IMG_20170126_111433.jpg
    IMG_20170126_111433.jpg
    32.7 KB · Views: 40
  • IMG_20170126_111627.jpg
    IMG_20170126_111627.jpg
    24.9 KB · Views: 44
Ubora wa duka ni mazingira mkuu, unashangaa maduka mawili yamepakana na yanauza vitu sawa kwa bei sawa ila wateja wengi wanakuwa wanaenda duka moja tu, siri ni mpangilio na usafi wa duka kwa ujumla.
Hata mganga anahusika muda mwingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom