Ni mojawapo ya kata za Jimbo la Kibamba,Kuanzia mtaa wa Kimara Mwisho, Stop Over, Michungwani, Kimara B, King'ongo, Saranga, Upendo n.k....check google map.....ni mojawapo ya Kata kubwa kwa Jimbo la Kibamba kando ya Kata ya Mbezi....kuacha maji barabara nazo.....
Ndio maana wanafeli mno kwenye mitihani ya leseni.....angalia matokeo ya kaka zao......Serikali ikaze hivyohivyo kwa kurekebisha mapungufu na isirudi nyuma kwenye hili
Baraza la Famasi Tanzania limefuta matokeo ya watahiniwa wote 2553 waliofanya mitihani ya leseni ngazi ya Fundi Dawa Sanifu (Pharmaceutical Technician) iliyofanyika mwezi February 2024 baada ya kuthibitika kuwa kulikuwa na udanganyifu kwenye mitihani yote mitatu.
Watahiniwa hao sasa...
Sijakuelewa kabisa mkuu....vipunguzwe mpaka wapi....alama ya F? Kwa maana nyingine kigezo kibaki kuwa kumaliza form 4 tu regardless ya performance ya level hiyo???
Umeongea vizuri sana...ahsante....kwa mfano huohuo wa chujio ukifuatilia matokeo ya mitihani ya leseni ya Baraza la Famasi ndio utaona chujio linavyofanya kazi......mpaka unajiuliza huko vyuoni kulikoni.....inawezekanaje mtu anafaulu mitihani ya chuo na anafeli vibaya mitihani ya leseni???? Na...
Ufaulu mzuri wa English, Hesabu, Biology na hayo mengine kwa ajili ya udahili wa kozi ya afya ni muhimu kwa kweli....yanayofanyika kwenye baadhi ya vyuo ili wanafunzi wafaulu ni ya aibu....hizi kozi si kwa ajili ya kila mtu....tuwaache wenye sifa wadahiliwe.....
Kwa tafsiri ndogo Kupandishwa kwa vigezo kwenye mtaala mpya kunamaanisha vyuo vingi vitakosa wanafunzi walio na sifa za kujiunga na hao watakaofanikiwa kuwa wahitimu bora kuliko sasa....mtaala wa sasa unatoa wahitimu wengi wenye ubora hafifu.....
SIKU YA KWANZA NILIPO INGIA MOCHWARI (MORTUARY) NILICHO KIONA NI NGUMU SANA KUELEZEA.
Na Dk.Mohamed Bakari Abdallah Mwampogwa-Tanga.
Kwanza niliona maneno yameandikwa (TULIKUWA KAMA WEWE).
Kuelekea mlango wa kutokea niliona maneno yameandikwa (HIVI KARIBUNI UTAUNGANA NASI).
Mh..! Kwa hakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.