Nenda kwenye nyumba za ibada uonane na kiongozi wa kiroho akusaidie maana wakati mwingine unahitaji ushauri na maombi pia jitahidi kutafuta marafiki sahihi utoke kwenye hali ya upweke pia kaa karibu na wazazi wako waeleze changamoto yako watakuombea na watakushauri pia
Mungu Akusaidie sana ndugu
suluhisho ni lipi sasa kama yeye spika analalamika na yupo kwenye chombo kikubwa cha maamuzi bunge ambalo ni mhimili wa nchi ..bila shaka anajua wananchi wanaumia kiasi gani kwa makosa wanayo yafanya ifike mahala waangalie na wajue wananchi ndio wenye nchi sio watu wachache walioko kwenye power...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.