Recent content by Nyamaumee

  1. Nyamaumee

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Salute kwako INSIDER MAN hii story imetufunza vitu vingi sana, na kuna baadhi ya vitu kwa upande wangu nimeanza kupractise na matokeo chanya nmeanza kuyaona.
  2. Nyamaumee

    Hatimaye nipo huru

    Hongera sana muandishi hakika hadithi hii ni ya kweli pasi na shaka. Umenikumbusha hawa watu wa bagamoyo umemtaja kurame, mantiba mzee zahiri sisi tulimuita mzee Zahoro, Familia ya Mkila na Sheikh Mohammed bila shaka ni Muhammed Ramiya, hawa wote waliisha fariki muda tu. Ubarikiwe sana.
Back
Top Bottom