Recent content by nyamaluba

  1. nyamaluba

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinauzwa karibu na soko la manzese

    Nimemtumia hizo namba Dr. Shika nazani atakutafuta muda si mrefu
  2. nyamaluba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, nahitaji kujifunza Arduino

    Kaka binafsi ni mfuatiliaji sana wa vitu vigen kama hivyo ebu weka waz kwanza ni nn hiyo Arduino naweza nikawa mshirika mwenzako
  3. nyamaluba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Airtel Switch ON

    Samahan wakuu nimewafuatilia toka mwanzo lakn bado mi naona chenga tu coz sina hi mismart phon wala nini mi nina nokia obama tu....ila naomba kujua kama nikiweka lain kwenye smart alafu nikajiunga je nikichukua lain nikaweka kwenye modem yangu ya airtel nitaweza namimi kula hayo maswitch...
  4. nyamaluba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mising vitual drivers

    jamani ehh computer yangu inafungu game lakini haipanuki full screen, dell latiyude e 5420 msaada wenyu waungwana.:A S 39::A S 39:
  5. nyamaluba

    JamiiForums Tanzania Helloo

    Haya! haya!haya! wenyewe umundani mpoo?.......wanuna twaisi mtupokee iyeya tu
Back
Top Bottom