Recent content by NYAMALINGO

  1. N

    GE2015 Je, ni kweli Tanzania tuna "majanga?", Hassy Kitine anatia shaka Urais 2015

    Kuna majanga ya aina nyingi ambayo kimsingi binadamu anakutana nayo.Kuna majanga ya asili na majanga yanayotokana na kazi za binadamu.Lakini majanga ya asili ni rahisi sana kuepukika,kwani ni majanga ambayo hutokea kwa kuzingatia kipindi fulani periodic au hutokea kwa dalili fulani kuonekana au...
  2. N

    Sifa za Lowassa kuwa rais wa tano Tanzania "ni hizi hapa"

    Katika historia ya tanzania tangu tupate uhuru mpaka sasa,tumekuwa na mawaziri wakuu takriban 10..nyerere,kawawa,msuya,sokoi ne,salim,warioba,malecela,suma ye,lowasa na pinda.Kala waziri mkuu alikuwa na sifa zake , ama kwa mazuri ama kwa mabaya. Mwalimu nyerere alishika wadhifa huo kwa muda...
  3. N

    Hawa ndio vibaraka wa Edward Lowasa miongoni mwa waliochukua fomu kuomba ridhaa ya CCM urais 2015

    Wewe ni ------ sana kwani lowasa hakampora charles mkwasa mke?...batilda burian alizaa na nani kama siyo lowasa!...niendelee?
  4. N

    GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Nimekuwa nikiyasema haya kabla ya kauli ya lowasa ya leo.Nilisema kuwa,Lowasa hana washauri makini na wenye waledi..wapambe wake wakakataa!.Nilisema kuwa lowasa alipokuwa singida alisema kuwa "asipopata urais akiwa ccm,taupata urais nje ya ccm"..wapambe wakasema mimi ni team...
  5. N

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    lakini ni lowasa huyo huyo ndiye alisem kuwa alivunja mkataba wa city water wakati wa rais mkapa!..alikuwa waziri wa kawaida tu.Akiwa waziri mkuu alishindwa kuvunja mkataba wa richmond.Hivi ni kweli lowasa alivunja mkataba wa city water au aliagizwa na mkapa kufanya hivyo ni siyo yeye aliyevunja...
  6. N

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Mara nyingi wapambe wa Edward lowasa wamekuwa wakidai ushahidi ambao unathibitisha ushiriki wa lowasa katika sakata la Richmond.Hata pale wanapoambiwa kuwa lowasa alituhumiwa na kamati teule ya bunge,Bado wanasema hakuna sehemu hata moja ya ripoti ya kamati teule iliyomtuhumu lowasa moja kwa...
  7. N

    Hivi Lowassa hana washauri? Naona anapoteza muda na fedha zake bure!

    Lowasa ana washauri wengi sana kuliko mtia nia yeyote yule wa ccm.Lakini uwezo wa washauri wake ni mdogo sana kiakii na ufahamu wao wa mambo ni mdogo sanaaa!.Hebu tuchukulie mifano hii:Cornel apson mwang'onda.MTISS Mstaafu ...EPA,Hans kitine MTISS Mstaafu...matibabu fake,Mgana...
  8. N

    Hivi Lowassa hana washauri? Naona anapoteza muda na fedha zake bure!

    Mara nyingi wtanzania wanapokuwa wanamchambua lowasa kama sehemu ya vetting yao kwa lowasa,wapambe wake wamekuwa wakitukana ,wanabeza na hata kuwadhaliisha watoa hoja.Wao kwa fikra zao wanafikiri kwa kufanya hivyo wanamjenga lowasa,lkn ukweli ni kwamba..tayari wamemmaliza kabisaa...na safari ya...
  9. N

    Lowassa: Nitakuwa Rais, ama kupitia CCM au nje ya CCM

    Mwanzoni,waziri mkuu aliyejiuzulu wadhifa wake kutokana na kuhusishwa kwake na ufisadi wa RICHMOND ,Baadhi ya watu wa karibu yake wakisema kuwa.."mzee anautafuta urais kwa udi na uvumba na ni lazima awe rais wa awamu ya tano",Tulifikiri kuwa maneno hayo ni ya wapamba tu na siyo yake. Sasa...
  10. N

    Lowassa acha kuhadaa Watanzania, sema ukweli wako juu ya kuchukia umasikini

    lowasa hastahili hata kukabidhiwa chakula cha mgonjwa........
  11. N

    Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Nanze mada yangu kwa kuuliza maswali la kipuuzi hivi. 1. Ni kweli lowasa amenuia kuingia ikulu?...... 2.Ni kweli watanzania wanapenda lowasa awe rais wao?.... 3.Je,lowasa atambua kuwa watanzania wana mtaka awe rais?... 4Je,wapambe wa lowasa,wafadhili wake pamoja marafiki wake wanatambu hilo...
  12. N

    Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Kama mtakumbuka,mwaka 2012 chama cha mapinduzi kilifanya uchaguzi wake mkuu.Katika uchaguzi huo,kuna tukio lilitokea ambapo Husein bashe alimtuhumu benard membe kuwa alikuwa akiratibu mkakati wa kutengua mfumo wa kofia mbili kwa ngazi ya mwenyekiti wa taifa wa ccm...RAIS awe mwingine na...
  13. N

    Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

    Nimejaribu kuwaambia wapambe wa EL Kuwa,kama wanamtakia mema EL,Ni vyema wasitoe matusi na maneno ya kejeli pale ambapo watanzania wanataka kujua ukweli wa kile kinachoongelewa.gizani,Badala yake wajibu hoja.Ni ukweli usiopingika kuwa,Edward Ngoyai Lowasa anatakiwa kujibu maswali ya watanzania...
  14. N

    Utaukosa urais kwa sababu ya wapambe

    Ndugu watanzania wenzangu,Hakuna asiyefahamu kuwa nchi yetu inatarajia kufanya uchaguzi mkuu mwezi october tarehe 25,Na kwamba tutapata fursa ya kila mmoja wetu kumchagua mgombea au chama anachoona anafaa/kinafaa.Siku zote palipo na uchaguzi popote pale duniani,Kuna wagombea na wapiga kura...
  15. N

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Mr President jakaya mrisho kikwete: BE CAREFUL!: Ningekuwa na muda ningekueleza mengi sana. Muda wangu ni kidogo sana ndiyo maana nashindwa hata kupost mambo mengi kuhusu taifa hili hapa JF. Ninatuma post hii si kwa lengo la kukutisha. Lengo ni kukukumbusha uwe makini ili usijefanya uamuzi wa...
Back
Top Bottom