Recent content by nyaluanda

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuendesha maabara

    nakushukuru kwa kutupa moyo ndugu hivi sasa tumefanikiwa kupata chumba chakuweka maabara na maktaba toka halimashauri ya wilaya ya ngara. Kuhusu vifaa mtu yeyote anayeweza kutusaidia chemicals na apparatus zinazotumika mashuleni kwa ujumla tutamshukuru nitaweka list ya vifaa hapa jamvini hivi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuendesha maabara

    Wanajamii tumekuwa tukilalamika sana juu ya ufaulu wa wanafunzi juu ya hasa masomo ya sayansi bila kutoa suluhisho la tatizo hilo hasa kwa shule za kata. Sisi hapa Ngara mkoa wa kagera kama vijana tumejinga pamoja chini ya mwavuli wa cbo yetu nakufikiri kuanzisha maabara ya masomo ya sayansi kwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania mwalimu wa mining

    wakuu tuna chuo kinachotoa certificate courses kwenye masuala ya mining na kwa sasa tunahitaji mwalimu wa mining wa angalau diploma na kama anatokea chuo cha mining dodoma itapendeza sana kituo cha kazi ni Ngara kagera namba ya mawasiliano ni 0688 350075. Asante wakuu.
Back
Top Bottom