Kwa kweli hata haiyeleweki ayo maswali yako yote ndiyo nnayo jiuliza mimi. At tena hii shule ni ya serekali voo. Cjui huyu mwalimu mkuu wao kapopa au tatzo ni wizara yao ya elimu?
Wakati watu wanaendelea kuzungumzia uozo wa matokeo ya form4, huku zenj kuna majanga ya shule1 kwa wanafunzi wa adv wanaotarajiwa kufanya mthn may mwaka huu.
Wanafunz hao waliokua waksoma komb ya phs, comp sci na math, waletewa habari iv juzi kua kombi hyo haijulkan mpaka pawepo na somo la...
Naona walonambia comp engineering ndo wanaongoza lkn yupo alonambia comp sci pia. Ningeomba na sababu plz. Kma zpo za kimshahara, utaalam au hata mda wa kusomea koz hzo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.