Recent content by NyalaB

  1. N

    Kwa Experience yangu ya muda mfupi kwenye "Betting" nimegundua mambo machache

    Sportpesa Cassino game ya FIRE 88 linanitoa saaaana
  2. N

    Vijana wa Kikristo tujitahidi kuhudhuria walau hata jumuiya

    Na unaambiwa toa ulichojaaliwa kama hauna haufungwi
  3. N

    Majibu yangu kwa Thadei Ole Mushi alivyouliza, nini kimempata Ndugai?

    Sawa wewe unayejua ndio utuambie sasa nani atakaye kuja kulilipa ile deni baada ya hiyo miaka 20 maana kila atakayeingia atakopa lake
  4. N

    Majibu yangu kwa Thadei Ole Mushi alivyouliza, nini kimempata Ndugai?

    Mtu anachukua mkopo wa miaka 20 angali yeye anakaa madarakani miaka 10 unafikiri anayeingia madarakani atalipa ya mwenzake
  5. N

    Changamoto za NIDA saa za lala salama

    Havina sign kwenye kitambulisho lakini kwao sign ipo na hata ukichukua online copy ya kitambulisho sign ipo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    Changamoto za NIDA saa za lala salama

    Zoezi ili la vitambulisho ni endelevu? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    Tunauza Mbao za kupaulia

    Usafiri juu yako
  8. N

    Tunauza Mbao za kupaulia

    2x4 5500
  9. N

    Tunauza Mbao za kupaulia

    Asante karibu
  10. N

    Tunauza Mbao za kupaulia

    Napatikana buguruni chama 2x4 ya dawa 6000 2x2 3200 1x8 12500 1x10 16500 Ft 12
  11. N

    Tunauza Mbao za kupaulia

    Kwa mahitaji ya mbao za kupaulia za dawa na kawaida karibuni
  12. N

    Tatu mzuka nimewakubali

    Uzur wake dk chache tu mpunga unaingia kwenye account yako
  13. N

    Tatu mzuka nimewakubali

    Hii nikweli mimi niliweka 1000 nikapatia namba 3 nikapewa 164,180 baada ya kodi Tiketi yako LOEAZG ya TatuMzuka droo, 1944 imelinganisha namba 3! Umeshinda Tzs.164180! kodi 18%.imeshatolewa Namba za ushindi ni 483.tatumzuka ni simpo tu!
  14. N

    Wale wazoefu wa tatu mzuka hii ina maana gani?

    Umepatia namba 2 wanakurudishia mara 2 ya kiasi ulichoweka mf.500x2,10000x2
Back
Top Bottom