Nilinunua kiwanja Eneo la Mwakibete Mlima James mlima wa tatu toka mlima VETA karibu na Lyoto sekondari .Ni mwaka wa tatu sasa tangu ninunue ,lakini aliyeuza alipatiwa na jiji zaidi ya miaka 8.Nilipojaribu kuanza kujenga tu njia ambayo ilikuwa inatumika akajitokeza mtu mwenye kiwanja akaweka...
soma sheria ya utumishi na mahusiano kazini uk 36 ibara 61 na pia uk 43
https://www.google.com/url?q=http://www.lrct.go.tz/download/translated-laws/kiswahili-vision/mahusiano.pdf&sa=U&ved=2ahUKEwic7qOJ293aAhUOYVAKHf3oDAAQFjAAegQIChAB&usg=AOvVaw0SAe29C9ZkVvf0Icl9PR1T
hoja yangu ni kupunguza hilo nalitafakali
,fungua usome sheria hapa chini
Kujiunga vyama vya wafanyakazi ni hiari au lazima kwa mujibu wa sheria ya kazi??
Sheria ipo ila haimlazimishi mtu kuwa mwanachama kama wanavyofanya shart ujaze mkataba wa kuhiari,pili kama si mwanachama hutakiwi kukatwa bali unatakiwa kulatwa pale tu kunapokuwa kuna jambo ambalo wanalifanya kwa mwezi huo ambalo utanufaika nalo nakato hilo linaitwa duka la uwakala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.