Recent content by Nyakitono

  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Glory Tausi: No Reforms, No Election ya Mbowe ilikuwa ina mikakati ya kuhakikisha tunashida uchaguzi na tunatangazwa, Ya Lissu ilikuja na nginjanginja

    Hivi tatizo liko wapi? Mbona hayo maneno yanaeleweka vizuri kabisa. Swala la "Mbowe au Lissu" halina uzito wowote hapo. Sikilizeni Chama kimeagiza nini! Basi.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na mvi, je tatizo ni nini?

    secretarybird, rekebisha Jina hapo kwenye post yako ya kwanza.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Msimamizi wa Miradi ya Ujenzi Mwanza hasa UKEREWE.

    Tunaye hapa Msimamizi wa miradi ya Ujenzi (Majengo na Barabara) Fundi Sanifu Mwenye uzoefu wa siku nyingi. Kwa Mwenye miradi huku Mwanza hasa UKEREWE tuwasiliane mwanzahuduma7@gmail.com
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow ajiunga na ACT Wazalendo

    Kiswele Injini nyuma? Hatari Sana ile kitu. Saa sita mchana inakatiza Ipogolo hiyooo
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais nitabadilisha jina la fedha kutoka Shillingi na kuitwa Tanzanite

    Unaondoa Fedha unaweka Tanzanite? Maana yote ni Madini yetu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais nitabadilisha jina la fedha kutoka Shillingi na kuitwa Tanzanite

    Kwa hiyo madini ya Fedha mnayaondoa na mbadala wake ndio hiyo Tanzanite?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwa walioko nje ya mkoa wa Mwanza na unahitaji msaada, wasiliana nasi tukusaidie

    Asante sana kwa mchango wa mawazo. Non Consultancy Services ni eneo pana Sana na kazi zake ni makundi mengi Tofauti Tofauti. Sisi tumesajiriwa na tumeanza kutoa huduma zetu hata kwenye taasisi za umma kupitia mfumo wa NeST. Huduma zetu Kama ulivyotoa mfano kwa huyu wa Dodoma Sasa tunazileta kwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwa walioko nje ya mkoa wa Mwanza na unahitaji msaada, wasiliana nasi tukusaidie

    Hatubagui hatuchagui. Jukumu lolote halali ni wajibu wetu kukusaidia
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwa walioko nje ya mkoa wa Mwanza na unahitaji msaada, wasiliana nasi tukusaidie

    Okoa gharama za usafiri kwa kuwasiliana nasi kwa email hii hapa hudumamwanza7@gmail.com. Tutume kazi yoyote halali na uokoe gharama. USIPITWE...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa walioko nje ya mkoa wa Mwanza na unahitaji msaada, wasiliana nasi tukusaidie

    Tumeamua kutoa huduma mbalimbali ndani ya Mkoa wa Mwanza (Wilaya zote) ili kuwasaidia watanzania wenzetu walioko mbali na Mkoa huu. Wasiliana nasi ili tukusaidie kupunguza changamoto Kama si kuimaliza kabisa - unayokabiliana nayo kwa vile uko mbali na Mwanza. Kwa wenye uhitaji huo njoo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

    Sina tatizo lolote. Nimeona Wote mmetupia taarifa hiyohiyo, maudhui yaleyale, muda huohuo. Inatokea sana kwa wenye multiple ID.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Simbachawene awataka viongozi wa walimu wasiokuwa na ajira NETO kufika ofinini Dodoma kwa mazungumzo

    Umeongea kwa ukali Sana. Wazo langu kwao....kama wako laki tano (mfano tu) 500,000 x Tsh.10,000@=5,000,000,000 yaani Tsh. Bilioni Tano. Watafute namna ya kujiajiri. Ni hayo tu.
  13. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ofisi ya Rais Utumishi, TAMISEMI na Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga okoeni mtumishi huyu

    OR TAMISEMI Halmashauri husika wanasemaje
Back
Top Bottom