Recent content by nyakakho

  1. N

    Jaji Augustino Ramadhani hafai kabisa kuwa mgombea urais wa CCM

    Fanyeni Tafiti Jaji amekuwa Mwana CCM toka mwaka gani!?
  2. N

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Unaambiwa Soma kwa jina la mola wako. Ukisoma vema utagundua kuwa Mwenye Elimu ni Mbora zaidi ktk jamii Sio tu ktk Jamii bali hata mbele ya Muumba. Elimu ni kila kitu! swali ni elimu ipi hiyo Kuna 1. Elimu kuhusu muumba(mungu) hatuipi kipaumbele 2. Elimu tunayo ipa kipaumbele ni Dunia na...
  3. N

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Elimu. Ni muhimu ili uweze kuamini uwepo wa Mungu. Pia uweze kutofautisha alivyoviumba na muumba. Bila Elimu sahihi trust me u will go astray! Mimi binafsi nilikuwa najiuliza kwa nini hatuzaliwi tukikua kila kitu? Kwa nini jatujuwi mambo mengi mpaka tujifunze nani ajuaye kila kitu Tunabia elimu...
  4. N

    Picha za kudhalilisha za Makongoro Nyerere zinazosambazwa na Mbio za Urais 2015...

    Hawatamuweza kamwe. Awali ya yote. Fanyeni tafiti asili ya Jina Makongoro. Kiufupi amerithi jina la chief Wa waikizu Chief Makongoro Aliyekuwa ameoa wake zaidi ya 50 ktk uhai wake! Sasa Tangu lini Chief na Matawala akawa na Mke mmoja! Chief Nyerere mwenyewe alikuwa na wake 22! Nini cha ajabu...
  5. N

    Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM, itakayopitisha majina matano ya wagombea urais

    Hii kitu imekaa poa Makongoro ni Mtoto Wa Tano Ktk familia yake Maana yangu ni mwaka Wa tano tano!. Pia 95 aligombea ubunge..!
  6. N

    Makongoro Nyerere, urais hautafutwi kirahisi hivyo! Watanzania muwe macho!

    Jamani eleweni kuwa Awali ya Yote ni kuidhinishwa na chama. kisha chama baada ya kumpata mgombea wake. Huanda sera kwa ajiri ya kampeni. Si tuu inafaa kupewa urais Ikumbukwe kuwa atakuwa mwenyekiti Wa CCM Taifa. Wanaosema nitafanya hili mara lile hizo ni poroja kwani huu sio wakati Wa kampeni...
Back
Top Bottom