Recent content by Nyakageni

  1. Nyakageni

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA, Mrudisheni Dkt. Slaa chamani kuongeza morali ya ushindi

    Aende zake, alisaliti na kumuunga mkono muuaji. Hafai Risasi na mateso wanayopitia akina Lissu na Saanane aliyabariki. Hovyo kabisaaaaa
  2. Nyakageni

    JamiiForums Tanzania Lini tutaacha Chuki? Hivi Wazanzibari hawatambuliki na Katiba kuwa Marais?

    Sijamalizia andiko lote ila nchi huru ya Tanganyika inatakiwa. Nyerere alikosea sana kwenye muungano
  3. Nyakageni

    JamiiForums Tanzania Watu wanaosema tunamrudishia Rais mchakato wa Katiba wanachangamsha Genge

    Hovyo kabisa hawa.
  4. Nyakageni

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa Kiongozi wa Pili kuacha Legacy baada ya Nyerere

    This post is proffesorial rubbish and utterly nonsensical article
  5. Nyakageni

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Trilioni 360 za makinikia haikuwa kodi sahihi, Nilikosea kutumia neno “Jalala”

    Siku nyingi sana sijaingia humu. Naona pamejaa madini
  6. Nyakageni

    JamiiForums Tanzania Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Tambua pia kuwa umechangia ulemavu wa Lissu, kuumizwa vibaya kwa akina Mdude na kupotea kwa akina Saanane. Binafsi sina msamaha na wewe
  7. Nyakageni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini waafrika siyo wabaguzi?

    Mayor wa London unajua asili yake?
  8. Nyakageni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini waafrika siyo wabaguzi?

    Beggars have no choice
  9. Nyakageni

    JamiiForums Tanzania Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

    Cha msingi ni kwamba BAHARI IMETULIA na MUNGU ametoa hukumu ya haki! Shetani ameshindwa
  10. Nyakageni

    JamiiForums Tanzania Kumbe shida kubwa kwa WanaCHADEMA ilikuwa ni kulamba asali na wala sio maslahi mapana ya umma. Shida kubwa ilikuwa mpate mlo wala sio kutetea wananchi

    Chadema wameteswa sana, wamelemazwa sana, wameuliwa sana na mzee wa Chattle. Its time nao wapumue kidogo. Mungu ibariki CHADEMA
  11. Nyakageni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

    Admins Invisible Maxence Melo hebu futeni hii comment. Haina ustaarabu
  12. Nyakageni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

    Chadema hii hii ambayo mzee wa Chattle aliapa kuwamaliza? Akawamaliza akina Saanane na kuwalemaza akina Lissu then karma ikafanya kazi yake???? Aliyeapa na kutumia maguvu keshaenda, we nani hadi useme haya?????
  13. Nyakageni

    JamiiForums Tanzania Kwa hali inavyoenda tunawaomba Dkt. Slaa na Job Ndugai muanzishe chama kipya cha siasa

    Dr. Slaa na Ndugai watoke ccm katika umri huu na walivyo wazee na wagonjwa? Watakufa mapema sana. Huyo Slaa mke tu anampelekesha ije iwe chama kisicho na watu imara? Acha kabisa. Waache wameze dawa za magonjwa yao tu
  14. Nyakageni

    JamiiForums Tanzania Dar: RC Makalla akiwa na mfanyabiashara, amesimamisha uchimbaji kokoto machimbo ya Boko

    Halima na Gwajima wote wako bungeni kimichongo tu
Back
Top Bottom