Recent content by nyaishozi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Uwen umeajiriwa au la, kasome VETA acha Uvivu, Soma tafuta kazi zinazotokana na mafunzo ya veta utakuwa na fursa ya kutengeneza Fedha. Tatizo ni kukariri ukoloni wa Kuajiriwa Naunga mkono kauli ya Mheshimiwa waziri mkuu, Mwezi Julai 2025 tukutane VETa, mimi naingia darasa la VETapamoja na kuwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Acheni ujinga nyinyi mnaorukia kauli za viongozi pasipo kutafakari na mihemuko yenu. Mheshimiwa waziri Mkuu yuko sahihi. mbona leo tunaona hao waliomALIZA DEGREE ZAO WANAENDESHA BODA? mbona hilo hamjalilalamikia? hiyo leseni ya uendeshaji wa vyombo vya usafiri inapatikana wapi? kama sio VETA...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Bila kujirudi, Kassim Majaliwa atapigwa chini!

    Aombee msamaha kwa lipi? Narudia weww ni mmojawapo unayetumika kama si kutumiwa au unajipigia debe. Wagombea wangapi walipita bila kupingwa?mbona huwasemei nao wajiuzulu?? Unataka kuivuruga Seekali na Chama cha Mapinduzi. Kaa ufanye kazi acha kupiga majungu. Mheshimiwa Rais Mama Samia anaenda...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Bila kujirudi, Kassim Majaliwa atapigwa chini!

    Kamundu! Bila shaka wewe ni mmojawao unaotumika au kujipigia debe. Be objective not subjective. Unakumbusha mambo yaliyopita ili iweje? Mh.Waziri Mkuu hana kosa gani hapo mgombea kama aliingia mitini? Leta ushahidi sio kutumiwa na wapenda madaraka. Mungu akusaidie uache chuki binafsi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kasimu Majaliwa hutakiwi kusema chochote kuhusu Demokrasia, huna sifa hiyo

    Wewe una chuki binafsi kama aiyo kutumwa au kutumikishwa. Mwa ufupi huo ni ukihadi unaoufanya. Waache Viongozi wetu wafanye kazi. Period!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Waziri Mkuu unajisikiaje kuwa Kiongozi wa Serikali usiyetaka kuwajibika?

    Mwandishi una chuki binafsi na Mheshimiwa Waziri Mkuu na Serikali ya Mh. Samia. Hoja zako zote zimejikita kwenye chuki. Na hii inaonyesha umetumwa kama si kutumika. Serikali ilijitahidi kwa ufuatiliaji na kila mtu aliona . Hicho kitengo cha maafa unajua kazi zake? Na unajua kilianzishwa kwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, Vijijini hatuhitaji taa za barabarani, hii ni kejeli

    Mkuu, nadhani Dhana nzima ya maendeleo labda haieleweki miongoni mwetu. Hizo taa kama zinatakiwakuwekwa kwenye maendeleo ya sehemu zenye utoshelezi wa sekta za Afya,Elimu n.k. Je sehemu zilizopo mjini zenye taa zimejitosheleza katika nyanja hizo? Hakuna upungufu? Je hizo taa zinahusiana na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mgogoro Ngorongoro: Gazeti la The Guardian, mmelipwa au ni kujitoa ufahamu?

    Hawa waandishi wa siku hizi njaa tupu. Inakuwaje mwandishi aandike story tofauti na asichukuliwe hatua na mabods wake wa gazeti? Unapotoshaje kauli ya mmojawapo wa Viongozi wakuu wa nchi wakae kimya? Guardian mna matatizo. Labda mwandishi naye anatoka Jamie hiyo hiyo iliyoko hifadhini...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, Vijijini hatuhitaji taa za barabarani, hii ni kejeli

    Sheria ya wapi hiyo? Tutajie inayosema ili kijiji kiwe na sifa ya kuwa hivyo ni kutokuwq na taa????
  10. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, Vijijini hatuhitaji taa za barabarani, hii ni kejeli

    Watanzania ifike mahala tuwe na uelewa na tuache unafiki. Mh. Waziri Mkuu hapo amekejeli nini? Dunia ya leo ndo anayoiongelea. Maendeleo yawe sawasawa. Hakuna kusema hiki ni cha mjini au hiki cha kijijini. Binadamu wote ni sawa. Ifike mahali tuunge mkono juhudi z Serikali chini ya Mh...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jafo anaweza kuwa ndiye waziri mbovu na kituko zaidi wa TAMISEMI tangu nchi hii ipate uhuru

    Huyu Erythrocites ni kiazi kweli kweli. Ana chuki binafsi kama sio katumwa . Waziri Jafo na Familia yake wanahusikaje na Kanuni za uchaguzi? Hao wanaokutuma wanapoteza muda . Kumbuka huyo ni Waziri mwenye dhamana tu. Masuala mengine ni ya Serikali. Umepotea njia kumchafua Waziri Jafo...
  12. N

  13. N

  14. N

    JamiiForums Tanzania Nataka nijiunge na DSTV, vipi kifurushi cha mambo kina chaneli nzuri?

    Dstv ni matapeli siku hizi. Wanatangaza promosheni ya offer yamiezi miwili kwa kuongeza hela ilishalipwa hata hiyo offer hawakupi na huku umelipia hela nyingi zaidi ya kifurushi unachotumia. Ukiwapigia wanazuga wanaishia kusema tunashughulikia halafu wanaingia mitini.wameniboa sana. Halafu...
Back
Top Bottom