Recent content by Nyagili

  1. N

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kumshitaki mzazi mwenzangu?

    Usimtoe mtoto. Nenda ustawi wa jamii watakusaidia pasipo shida. Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  2. N

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kumshitaki mzazi mwenzangu?

    Pole katika hilo, nenda ustawi kwa msaada wa uhakika na wa haraka. Pili, tafuta mashirika yanayotoa msaada wa kisheria ama yanayohusika/ shughulika na utetezi wa haki za wanawake na watoto. Tatu, samahani upo mkoa gani? Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

    Amen! Wahusika wote wa tukio hilo Mungu kuteka nao kwa njia yako ya kimbingu kwa kadri utakavyopenda iwe na iwe sasa. Mungu usimuache hata mmoja. Amen. Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    Utavuna ulichopanda. Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    Utakuna ulichopanda Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania ARUMERU: Mbunge Nassari anusurika kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Wammiminia risasi kama mvua Nyumbani kwake

    Wote wenye dhamana ambao wanadhulumu haki za watu ama chama kingine walaaniwe milele na zao zote. Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania ARUMERU: Mbunge Nassari anusurika kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Wammiminia risasi kama mvua Nyumbani kwake

    Wapinzani wote rudini chama tawala ili sifa iwe kubwa Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania ARUMERU: Mbunge Nassari anusurika kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Wammiminia risasi kama mvua Nyumbani kwake

    Tangy kuumbwa kwangu sijawahi kuona anayependa wanyonge anakuwa na kisasi, jaziba, anaangiza ua tu, kupenda kusifiwa kwa kweli sijawahi kuona. Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  9. N

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Majaliwa atinga bandarini na kukuta magari 44 yakitaka kutolewa kwa kutumia jina lake

    Wafanyakazi walioruhusu wamechukuliwa hatua gani kando ya hao wafanyabishara? Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  10. N

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Masha ni tapeli wa siasa Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

    Walaaniwe wote walioandaa na kupinga risasi Mhe Tundu Lissu na yawarudie wao na wafe vifo vibaya. Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Aliyemjeruhi Meja Jenerali mstaafu, Vicent Kariongo kwa risasi auawa

    Siamini taarifa hii na MUNGU anisamehe. Si taarifa ya askari aliyepata mafunzo ya jeshi la polisi ama nikutaka kufurahisha watu ama kuficha ukweli fulani. Pia hebu polisi wa sasa hivi ni kuua ua tu? Mbinu za kila mate hakuna? Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lissu: Mange kufunguka

    Ukweli upo wazi, nani ambaye hajui? Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom