Recent content by NYAGI DRY

  1. N

    JamiiForums Tanzania Toyota Premio Vs Mitsubishi Outlander

    Beba premio ww!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia mafuta ya Tsh 230,000/= tu!

    Mimi nina premio 1ZZ kigoma go and return natumia laki 5 na 80
  3. N

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara ya spea za magari madogo

    Uzi mtam sana huu tunaomba mirejesho
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Nafhan utakuwa unaugua wewe sio bure
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Kama una ndoto ya kutoka mtaa mpaka kwenye success ya ukweli—basi lazima ujue hii dunia haimsubirii mtu. Haina time ya kusikiliza visingizio. If you wanna make it big, start where you are, use what you got, and do what you can. Hii ni sayari ya wanaojituma, sio ya walalamishi.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Bond anunue wapi? Na wengine tujifunze hapa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Nikweli kuliko aanze kuanza kuichakata iyo 40m ataisahau
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Hapa panahitaji elimu hata wengine tufaidije
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Hahhaha kamata fursa twenzetu hahahha hakunakulaza dam
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Naogopa sana issue za magar ikila mzinga biashara imeisha aangalie issue zingine
Back
Top Bottom