Recent content by nyagho

  1. N

    JamiiForums Tanzania Alama ya Apple, hii ina maana gani?

    Wewe Mshana Jr naweza sema ushawahi kwenda kuzimu na kurudi hapa duniani maana mambo haya ya imani nadhani wewe ni profesa humu jf.!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    Leteni mbwembwe zoote hapo Arusha lakini hapa mbeya ndiyo tutawaonesha nini maana ya mabadiriko na kuwaaminisha kuwa CHADEMA siyo ya ukanda viva Lowasa viva UKAWA viva Mabadiriko Hapa mbeya tunasema bora kideri kuliko CCM
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la umeme latosha kuiondoa ccm madarakani

    Nipo nashoosha mda huu maana saa tisa na nusu ahsubuhi hii unakatika mpaka juma pili saa saba ahsubuhi kwangu me wamenikolezea hasira za kuchinja hiyo tar 25
Back
Top Bottom