Recent content by Nyadunga

  1. N

    Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno

    Nauliza tu, je Kuna taasisi za kimataifa zilifanya EIA? Kama yes, wao wanasemaje? Je wa Wataalam wetu uko open twaweza kuupata na kuusoma?
  2. N

    Malalamiko kuhusu kuvunjwa msikiti, uhamisho wa wahadhiri Waislam UDOM

    Nauliza tu, kama taratibu zilikiukwa za kuharibu jengo, je wahusika hawawezi kwenda mahakamani kudai haki na mkataba iliyovunjwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Yaliyojiri Ikulu: Mazungumzo kati ya Viongozi wa dini nchini na Rais Magufuli

    Hata Adolf Hitler alikuzwa na kuungwa mkono na viongozi wa dini! Tusione ajabu viongozi wa dini wamekuwa Kama wabunge leo! Wengine wanatukuza hadi binadamu mwenzao! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Udom wamelitolea tamko leo, Mwenyekiti wa Baraza la chuo nimeona kwenye Online Ngasa TV kalizungumzia. Mnaweza kufuatilia YouTube Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    SPIKA: Tumesitisha kufanya kazi na CAG. Panga pangua Kamati za Bunge yaanza

    Kuna kitu kinamsumbua Spika wetu. Spika ni dhaifu sana. Anayo ile Hali ya inferiority complex..... Anaona akiacha jambo hili ataonekana dhaifu kumbe kuendelea nacho ndo udhaifu wenyewe. Kuna kitu kinafichwa hapa siyo kauli ya CAG! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    Ili kufikia uchumi wa kati lazima Serikali isaidie sekta binafsi

    Mene mene Tekeli Tekeli......
  7. N

    Ikulu, Dar: Rais Magufuli afanya Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya, ateua Wakurugenzi na kuhamisha wengine

    Kumbe wengine wameteuliwa lakini hawana vituo! Patamu.... Hapa
  8. N

    BAKWATA na Waislamu wengine, kila kitu kinachofanywa na Serikali kiko sawa kwenu?

    Wanajengewa msikiti na Bashite [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. N

    Rais Magufuli: Maaskofu wahimize ujenzi wa viwanda vya dawa badala ya kuhubiri mambo yasiyo na tija kwa Tanzania

    Kuna shida mahala. CCM walitukosea sana Watanzania. Watubu kwa maaskofu hawa. Viongozi huandaliwa, hawa wanaokatwa na kupachikwa Athari zake Ndo hizi
  10. N

    Msemaji wa Serikali: Kiwanda sio lazima kiwe na watu elfu 20, watu 4 - 5 wanaunda kiwanda maana teknolojia inatumika

    Kama viwanda ni hivi basi Tanzania ni Nchi ya viwanda muda mrefu sana.
  11. N

    Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 90. Wadaiwa kumlisha Rais Magufuli maneno

    Great minds discuss issues! Not people! Issue at stake here is Rai Mwema saga.
  12. N

    Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 90. Wadaiwa kumlisha Rais Magufuli maneno

    Nadhani hadi siku watu wa calibre yako "Mudawote "watakapopata angalau robo ya uelewa, Tanzania ya viwanda siyo viwonder inawezekana. Mfano mdogo tu... Badala ya kujadili hoja umekimbilia kujadili watu..... na kuanza kuleta akili za Lumumba.... Anyway, Ngoja niishie hapa. Make """in a Queen's...
  13. N

    Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 90. Wadaiwa kumlisha Rais Magufuli maneno

    TL aliposema, rais huyu apingwe na kila mwenye akili hawakumuelewa! Kama ni makala ya jana ndo chanzo basi maneno ya Lissu tumeanza kuyaishi. Wengine wafurahie lakini nao anawaijia. Alianza kwa Chadema na CUF... Leo anawarudi Watanzania.
  14. N

    TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

    Hata Kafulila a. k. a. Tumbili mlimwita msikiti, amenunuliwa ati.... [emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom