Recent content by NYABISHABO

  1. N

    Waitara: John Heche Alipata Sifuri Kidato Cha Nne, Anatumia Cheti Cha Dada Yake

    Heche na ubunge wa Ukonga wapi na wapi bange nyingine bhana
  2. N

    DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

    Safari bado ni ndefu sana sinahata wa kumuunga mkono na wa kutomuunga mkono
  3. N

    Serikali ya Tanzania inaubagua na kuutenga Mkoa wa Kagera kimaendeleo

    Kura tumepiga wenyewe tumemechagua wenyewe tunalalamika nini
  4. N

    Value for Money: Je, upinzani una thamani ya jasho la Watanzania?

    Tungepata kwanza hizo 1.5T haya mengine yangekuja baadae
  5. N

    CCM huwabadili watakatifu kuwa waovu?

    Mmh huu uzi huu kuna watu wanajua kubashiri bwana
  6. N

    Mbunge Ally Kessy: Kugawana miradi kimjomba mjomba, kumetukosesha maji

    Sasa mbona hajataja si ungesubiri upate details ndo upost?
  7. N

    Tofauti ya KKKT na Romani Katoliki katika dhana ya kisiasa na fedha

    Mimi ni mkatoliki lakini huwa nasikitika sana ninapoona viongozi wa dini wanarumbana kwenye media. Na hasa wanapokuwa wanachagua viongozi wao KKKT waangalie upya mfumo wao kama wataweza
  8. N

    Ado Shaibu: Zanzibar Kisingizio tu kwenye kashfa ya TZS 1.5T

    Nguvu inayotumika kutetea upotevu wa 1.5T inatosha tu kujua tumepigwa watetezi inabidi mjitathmin uelewa wenu
  9. N

    Mkuu wa Mkoa kupanda gari moja na Rais kiusalama protokali inasemaje?

    In jambo la kawaida toka zamani iko hivo huyo ndo mwenyeji wake
  10. N

    Huyu mkuu wa mkoa ameingia 18 zangu

    Sasa hafai mjadala wa nini?
  11. N

    Wizara ya Kilimo kimya: Mahindi Kusini, bei imeporomoka, soko limedoda na msimu wa mvua unakaribia

    Kwani nilazima wayauze? Waweke hifadhi ya chakula njaa inaua watafute zao lingine la biashara. Hakuna chakula kutoka serikalini ebo
Back
Top Bottom