Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.
Atakaewahi atapewa kipaumbele
Tukutane PM
Na mimi Kuna lalamiko langu nilipeleka BoT,Kuna dalili hata hukumu yangu pia ikafanana na ya kwako maana naona kama Benki kuu inakwepa majukumu yake,Na mbaya zaidi nimeona Jina la huyo Mwanasheria wa Benki kuu anaitwa Violeth Luhanjo nahisi uwezo Wake ni kdogo sana,maana hata kwenye ishu yangu...
Habari,
Napenda kuwasilisha kero inayowakabili wastaafu wa serikali kwani wengi wao hawajalipwa kiinua mgongo chao toka mwezi wa 7 hadi leo, wakati hao watu wa mifuko ya mafao husema mafao huchukua siku 7 tu, je mifuko imefilisika au wameamua kuwadhalilisha wastaafu Hawa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.