Recent content by nyaafu

  1. N

    Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

    Jimbo la mwibara likikupa ubunge jua tu kwamba ni miaka mitano basi! Na ukileta za kuleta hata mitano humalizi unapingwa mahakamani na jimbo kubaki bila mbunge. Kangi ajiandae kisaikolojia.
  2. N

    Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

    Ubarikiwe sana kwa maelekezo yako!
  3. N

    Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

    Nakushukuru kwa msaada ndugu yangu nitajaribu kwenda hapo kwa ushauri zaidi.
  4. N

    Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

    Nakushukuru sana chief! Naweza kupata hiyo huduma?
  5. N

    Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

    Nakushukuru chief! Naweza kupata hiyo huduma?
  6. N

    Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

    Salaam wana ukumbi! Nimekutana na ndugu yangu akiwa amebadilika ngozi yake nimeshindwa kuelewa chanzo na matibabu yake. Kama kuna mwenye kuelewa chanzo na mbinu za kutumia ili ajilinde na kupona kabisa atusaidie. Naambatanisha picha kwa msaada zaidi.
  7. N

    Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

    Huu uzi inaonekana ni kweli tupu! Mbunge anapokaa kimya anamaana gani wakati kuna mgogoro! Tunataka majibu Mzee Kangi
  8. N

    Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

    Mimi natoka jimbo la Mwibara, naumia sana kuona wachumia tumbo wakitumia vibaya nafasi zao na kuanza kukwapua ardhi za watu walio kufa! Nimejilidhisha huu mgogoro hauna mausiano na chuki za kisiasa ndani ya makundi kama bandiko lilivyoeleza. Kilichopo ni kwamba kuna shamba ndilo linalo leta...
  9. N

    Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

    Mhh!! Wabunge wetu nao ni shidaaaa!!!! Wanaangalia matumbo yao tu! Sasa anaingiaje kwenye eneo la wetu wengine? Huu si ndiyo uonezi kwa watu wasio jua sheria! Kama kuna uwezekano mpelekeni mahakamani ili mpate haki yenu. Watu wakipata pesa wanaanza kuumiza watu wa kawaida ndo kama hivyo! Mbunge...
  10. N

    Freeman Mbowe akabidhiwa fomu za kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa

    Namtakia ushindi na afya njema kwenye mapambano ya katiba mpya
  11. N

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Kwa yeyote anayefahamu mambo ya ujenzi naomba ushauri, nyumba ya kuishi hasa hapa dar yenye vyumba vitatu, 2 bed room na 1 master yenye sebure na dining , jiko stoo na choo cha ndani ( public toilet ) kwa kawaida inatakiwa iwe na ukubwa gani ( building Area sqm ngapi)? Kiwanja ni sqm za mraba...
  12. N

    Nacte na confirmation button yao

    Mbona walisema mnaweza kuedit mwisho tar.13.jul sasa na ambao wako vijijini wanafanyaje
  13. N

    Selection college of health tanzania 2014/2015

    Ulienda kwenye matokeo sehemu gani.
  14. N

    2nd selection

    Mimi naona working in progress.kwani wamekwisha toa waliochaguliwa?
  15. N

    Askofu Ngalalekumtwa: Katiba isiyotokana na Rasimu ya Warioba ikataliwe

    Hizi ni habari njema zenye kuturejesha tena kwenye njia kuu. Hotuba ya baba askofu iheshimiwe na wabunge wote wa Bunge la katiba.
Back
Top Bottom