Recent content by Ny nyamnyam

  1. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mbunge wa Morogoro mjini!

    Kuwa form 4 cyo insu kabisa,kuna watu ni standard seven lakin wanafanya mambo as if graduate,ila kuusu uyu jamaa bila kumung'unya maneno nikiradha sanaaaa akufaa kabisa kuwa kiongozi ila waliomchagua kwa tafri nzuri ambayo ukweli mchungu ndiyo viradha zaidi wamemchagua kiradha mwenzao mwenye...
  2. N

    JamiiForums Tanzania usiku wa leo utaamua Tanzania inakwenda wapi..

    KUnani tena Mwana kijiji?maana nakueshimu sana na mpaka umeandika ichi kunakitu kinaendelea!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Makanisa yavunje MoU na Serikali...

    Bwana Sikonge post yako haina mashiko wala chembe ya fikra tatuzi ya migogoro inayoendelea kwa sasa nchini. Hivi ikatokee leo wewe unaenda hospital unaulizwa dini yako ili utozwa pesa nyingi sindiyo kila siku maandamano yatakuwa yameboresha kwa kasi mpya, angalia post zako, jua zinasomwa na...
Back
Top Bottom