Recent content by nuruyamungu

  1. N

    Umeumizwa moyo mara ngapi mapenzini?

    Kuumizwa moyo kimapenzi ni daraja la kupita, ni jembamba hilo!!! Yaani hatari sana, usiombe kulipita daraja hilo.
  2. N

    Uwongo umeniponza

    Mkuu Nyani Ngabu, I love this. Wengi wetu hatuwi wazi unapokumbana na new love. Weka bayana kila kitu ili maamuzi sahihi yafanyike. Tofauti na hapo unaleta matatizo mbeleni unapoleta mara ohhh mara vile. Tukue jamani ili mahusiano yadumu.
  3. N

    Osama bin Laden killed!

    Haya ya kweli wakuu au? Hebu wafanya basi DNA tujue moja.
Back
Top Bottom