Recent content by Nurdin Mihungo

  1. Nurdin Mihungo

    JamiiForums Tanzania Usafi ni tabia

    Au tunafanya usafi akija obama, akiondoka hatufanyi, ni aibu kubwa sana!! ni kujivua nguo mbele ya dunia
  2. Nurdin Mihungo

    JamiiForums Tanzania Usafi ni tabia

    Usafi wa Mtu/Mazingira yake ni Tabia, inaweza kuwa ya kuzaliwa nayo au ya kujifunza, inaweza kuwa kujifunza kwa hiari au kwa kulazimishwa; sasa hili swala la Usafi wa Miji yetu inabidi kuwekwe utaratibu huo, kuwa usipokuwa msafi kwa hiari, basi utakuwa msafi kwa kulazimishwa (iwe sheria au...
  3. Nurdin Mihungo

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wana JF

    Mahali pake ni wapi mkuu?
  4. Nurdin Mihungo

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wana JF

    asante sana mkuu
  5. Nurdin Mihungo

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wana JF

    Habari zenu wakuu, hongereni kwa kazi ya kujenga Taifa; na hongereni kwa kutumia Mtandao huu kuibua mambo mbalimbali yanayoikabili jamii, pia hapa kuwa kitovu cha mijadala yenye tija kwa jamii na Taifa kwa ujumla, nami nimeamua kujiunga nanyi!!
Back
Top Bottom