Nurdin Mihungo
Member
- Nov 24, 2015
- 5
- 0
Usafi wa Mtu/Mazingira yake ni Tabia, inaweza kuwa ya kuzaliwa nayo au ya kujifunza, inaweza kuwa kujifunza kwa hiari au kwa kulazimishwa; sasa hili swala la Usafi wa Miji yetu inabidi kuwekwe utaratibu huo, kuwa usipokuwa msafi kwa hiari, basi utakuwa msafi kwa kulazimishwa (iwe sheria au vyovyote), na pia sheria isiishie kwenye maeneo ya umma (public) tu, bali iende mpaka kwenye mazingira yetu ya makazi (majumbani), endapo utakutwa mazingira ya nyumba yako na yanayokuzunguka ni machafu basi mkono wa sheria ukuwajibishe, tena kisawasawa.
Ni aibu kwa mtu mzima, unatoka nyumbani umechomekea, ila mazingira ya nyumbani ni hovyo kabisa.
Ni aibu kwa mtu mzima, unatoka nyumbani umechomekea, ila mazingira ya nyumbani ni hovyo kabisa.