Recent content by NURDIN.HAMIS

  1. NURDIN.HAMIS

    Ushauri: Nina million 1.5 nataka kufungua saloon au ninunue bodaboda

    Nashukuru sana kwa ushauri wenu ndg. Zangu mmenifungua ubongo naamini nimepata wapi pa kuanzia asanteni sana..
  2. NURDIN.HAMIS

    Ushauri: Nina million 1.5 nataka kufungua saloon au ninunue bodaboda

    Kwa hiyo milioni 1.5 naweza kufungua kisaloon cha kawaida au ninunue bodaboda naombeni ushauri wenu wanajamii kipi ni bora zaidi kukifanya maana hela nyenyewe ndio hiyo hiyo naitegemea initoe.
  3. NURDIN.HAMIS

    nokia lumia 520 mpya iko sokoni 0713 626027

    Nauza lumia 520 nashida ya pesa piga no.0713626027
  4. NURDIN.HAMIS

    Natafuta Smartphone

    Nina nokia lumia 520 vp mkuu.
  5. NURDIN.HAMIS

    nikikupa nokia lumia 520 mpya utanipa simu gani?

    Wadau nina lumia 520 mpya natafuta mtu wa kubadilishana nae simu ya android yenye uwiano angalau wa bei no.0713626027.
  6. NURDIN.HAMIS

    Naomba ushauri ndugu zangu

    Kanambia lazima nisome account ili pia niwenamsaidia ktk biashara zake huyu jamaa ni anko wangu kabisa lkn pia kasema hatonikataza kuomba kazi,sehemu zingine na mipango yote kaisha fanya ya kusoma t.i.a compas ya dar na imeshakamilika..
  7. NURDIN.HAMIS

    Nauza HTC MYTOUCH 4G

    Vp kk hiyo cm bado ipo? Namba yangu ni 0713626027 nicheq hata whspp
  8. NURDIN.HAMIS

    Naomba ushauri ndugu zangu

    Nimepata mtu wa kunirudisha chuo tena baada ya mwaka jana kuishia diploma one kwasababu za kiuchumi kwani nilifiwa na baba sasa insu iko hivi huyu mtu anaetaka kunirudisha chuo kanipa option mbili yaani nichague anisomeshe account au procurement nichague 1 sasa cjui nichague kozi ippi ndg.zangu...
  9. NURDIN.HAMIS

    nokia lumia 520 inauzwa mpya kwenye box no. 0713626027

    Wakuu nauza simu tajwa hapo juu bado mpya naiuza kwasababu hii sinu nimepewa na mm sipendi aina hii ya simu kama uko powa na.0713626027 au text whatsapp.
  10. NURDIN.HAMIS

    nina nokia lumia 520 mpya natafuta mtu wa kubadilishana

    Wakuu kuna nokia lumia 520 mpya kwenye box,naomba kubadilishana na mtu kwenye cm ya android nzuri no.0713626027
  11. NURDIN.HAMIS

    SAMSUNG GALAXY S3 mpya kwenye box 320000 tu

    vp mkuu mimi nina nokia lumia 520 bado mpya iko kwenye box nilipewa kwenye bday yangu sasa mimi huwa sipendi lumia so natafuta mtu mwenye android tubadilishane my no.0713626027
  12. NURDIN.HAMIS

    Natafuta mke kati ya miaka 30 - 35

    Kwann uchague umri
  13. NURDIN.HAMIS

    Nina 180,000/=, natafuta simu

    naitaka hiyo lumia pande zp upo
Back
Top Bottom