Recent content by Nurath J

  1. Nurath J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Arbitrage betting kwenye football inawezekana kweli??? Maana si kuna natokeo ya aina tatu? Na kwa nn uwe na account zaidi ya tano wew kaka naomb kujua
  2. Nurath J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    No missed Penalty in the Match.
  3. Nurath J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwenye mechi wakipata penart ni shart ifungwe isipopatikana pia wewe umeshinda tyu..... Ku lost kwako ni ipatikane harafu isifungwe.
  4. Nurath J

    JamiiForums Tanzania Jua ishara 11 za mwanamke anaekupenda lakini anashindwa kukwambia

    How mi mwanzo wa anguko lako?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. Nurath J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu hawezi kupata mali za kutisha, Umaarufu mkubwa na mafanikio makubwa kwenye biashara na fedha nyingi bila kuwa mshirikina?

    Nikweli ushirikina upo ktk maisha ya matajiri walio wengi na pia hutumika kulinda mali zao dhidi ya maadui. Jamii nyingi za kiafrika zinaamini kuwa matajiri ni watu ambao hawapaswi kufiwa na ndug watoto na hata mama baba zao. Pia zinaamini tajiri ni mtu asiye paswa kuwa na Ndondocha au watu...
  6. Nurath J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu hawezi kupata mali za kutisha, Umaarufu mkubwa na mafanikio makubwa kwenye biashara na fedha nyingi bila kuwa mshirikina?

    Hapa tupo ni utajiri kuhusishwa na ushirikina. Nini maoni yako...?
  7. Nurath J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu hawezi kupata mali za kutisha, Umaarufu mkubwa na mafanikio makubwa kwenye biashara na fedha nyingi bila kuwa mshirikina?

    Fumbo la utajiri ni mtihani sana na kumbe. Kila mtu anaamini anavyoweza kujiaminisha.
  8. Nurath J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu hawezi kupata mali za kutisha, Umaarufu mkubwa na mafanikio makubwa kwenye biashara na fedha nyingi bila kuwa mshirikina?

    Siri hizo za dunia ni zipi ? Na mtu unazipataje na kuzijua?
Back
Top Bottom