Recent content by Nuran Jr

  1. Nuran Jr

    Natafuta kazi za kuendesha malori, Semi, Actroce au magari ya mafuta

    Duuuh una miezi mitano tangu ujifunze na una madaraja karibia yote???
  2. Nuran Jr

    Kwanini kidume uonekane inferior kwa muonekano wako?

    Nakala ya mahusiano na mapenzi kwenye gazeti la mwananchi la tarehe 25/10/2018 jumatano imenifundisha mengi
  3. Nuran Jr

    Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

    Kutongozana mpaka miaka ya Leo???? [emoji4][emoji4][emoji4] nakumbuka miaka ya nyuma unamtongoza demu anakujibu ombi lako nitarifikilia [emoji23][emoji23][emoji23] Siku hizi akikupa tu namba unamtoa out baada ya hapo ni demu wako
  4. Nuran Jr

    Asilimia kubwa ya utajiri wa Diamond unatokana na kilimo

    Sasa kwani ukiwa nashare wewe sio mmiriki???? Ukishasema mtu anahisa zake kwenye company tayari ni mmiliki halali wa hiyo company
  5. Nuran Jr

    Mwanamke unaweza kudate na mwanaume ambaye hana kazi?

    Serikali sii muda itaanza kutoa Pesa za kijikimu kwa kila mwananchi
  6. Nuran Jr

    Mwanamke unaweza kudate na mwanaume ambaye hana kazi?

    Romantic eeeheee maisha ya sahivi?? Imagine mnaishi jiji la Dsm mwanaume hana kazi na nyumba mmepanga
  7. Nuran Jr

    Nini faida ya kuoa kwa sisi wanaume?

    Tarumbeta kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Nuran Jr

    Maisha ya Dar:Tujuzane matatizo, changamoto na vyanzo vyake unayoweza kukumbana nayo ukiwa Dar.

    Dah umeamka asubuhi huelewi unaanzia wapi huna hata Mia mbovu, na Jana usiku ulilala njaa huku ukiamini kesho utapata...unaondoka unaenda kituo cha daladala unamvizia konda akiwa hakuangalii unaingia kwenye daladala unatulia tuli, akija kudai nauli unamwambia nimeshakulipa na chenji nakudai 600...
  9. Nuran Jr

    Kwa wenye uzoefu na Interview questions

    Unajikuta kama uko smart kweli kwenye kila kitu kumbe yamkini hunalolote sorry to say..tatizo watz ni wavivu kusoma pengine hata post haujaisoma...nimeuliza possible questions za Interview sijakuambia watamuuliza maswali gani...soma,elewa , tafakari then come up with the right answers
  10. Nuran Jr

    Kwa wenye uzoefu na Interview questions

    We mpuuzi kweli sorry to say kwani nimekwambia hawezi kujibu nimesema possible questions za Interview ni zipi alaaa sku nyingine usikoment kama huna la kujibu
  11. Nuran Jr

    Kwa wenye uzoefu na Interview questions

    Yaap anajua na nitampa asome koment
  12. Nuran Jr

    Kwa wenye uzoefu na Interview questions

    Hapo umejibu swali au umekejeli???
  13. Nuran Jr

    Kwa wenye uzoefu na Interview questions

    Ni kampuni ya magazeti...Note.sitotaja jina la kampuni
  14. Nuran Jr

    Kwa wenye uzoefu na Interview questions

    Poleni na kazi wakuu..nnamdogo wangu ameitwa kwa ajili ya Interview siku ya jumanne ameniomba nimfanyie rehersal kidogo...sina uzoefu na maswali wanayouliza kwenye Interview... NB. Interview inahusiana na kazi usambazaji na uafisa masoko wa magazeti kwenye kampuni ya inayochapisha...
Back
Top Bottom