Recent content by NUMET

  1. N

    Nyongeza ya mishahara: Wafanyakazi tusimlaumu Rais Magufuli, tujilaumu sisi wenyewe na TUCTA yetu kwa Usingizi wa Pono

    Rais JPM anatuamsha usingizini. Nyongeza Ya Mshahara haijawahi kuwa keki hadi iletwe mezani kwenye kisosi. Suala hili la nyongeza Ya Mshahara kwa sekta ya umma binafsi nalitazama katika mtazamo wa aina mbili. 1. Wafanyakazi kupitia shirikisho lao la TUCTA wameacha misingi Na malengo ya vyama...
  2. N

    Kampuni ya El Hillal Minerals inatumikisha wafanyakazi bila kuwalipa mishara.

    Kwa miezi miwili mfululizo, kampuni ya kuchimba alamasi ya El Hillal Minerals iliyoko Mkoani Shinyanga, haijawalipa wafanyakazi wake mshahara. Juhudi zote za kistaarabu hazijazaa matunda. Ukiongea na management wanasema wazi kuwa hawana pesa ya kulipa kwasababu serikali imewazuia kuuza almasi...
Back
Top Bottom