Kwa wataalamu wa kilimo cha matikiti na papai naomba watupe darasa sisi wapenzi tusio na utaalamu ili tuweze kuzalisha kitaalamu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Upizani unajijengea ukuta mkubwa kwenye njia ya kuelekea mafanikio yao wenyewe na hili ni kutokana na kupinga kila jambo mm nafikir serikali ikifanya vizuri tupongeze tu ni mtazamo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais kwa jitihada hizi miaka yako kumi tutakuwa hatupo kwenye ili orodha ya nchi maskini afrika na hapo tutakuwa tuko kwenye moja ya nchi 10 zilizoendelea zaidi afrika. MUNGU AKULINDE ANCLE MAGU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nafikiri kuna haja ya kubadilika na kufuata sheria na so kuishi kwa mazoea vile vile vijana tunapaswa tujue si lazima uajiliwe bali unaweza kujiajili pia fursa ni nyingi sana.Na swala uwajibikaji wa serikali ktk kuongoza hili ni wazi kabisa serikali ina ongoza kwa kufuata sheria pasipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.