Recent content by NTWENONU

  1. NTWENONU

    JamiiForums Tanzania Mzee Jakaya Kikwete, rudisha hilo hekalu Serikalini lipigwe mnada pesa zisaidie wananchi

    Hao wageni wa kimataifa hawajui nchi yetu ni masikini? Kwa hiyo wewe ukitembelewa na mgeni uko tayari kukopa umchinjie ng'ombe akuone u tajiri huku familia yako haina uwezo ? Yaani unafurahia 'show off' kwa wageni badala ya furaha kwa wananchi? Lengo la KIKWETE kuomba urais ilikuwa kuwa...
  2. NTWENONU

    JamiiForums Tanzania Halmashauri Kuu ya CCM yampitisha Rais Samia Suluhu kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho

    INATIA KINYAA chama kinachojinasibu ni kikongwe na kilichokomaa kinachagua kiongozi wake kwa kigezo cha kuwa RAIS! Utamaduni na desturi isiyo na afya kidemokrasia inayompa Rais madaraka na maamuzi yasiyoweza kuhojiwa na yeyote. Tulitegemea kuwa CCM itakuwa imejifunza kupitia utawala uliopita...
  3. NTWENONU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    Tumeambiwa na Makamu wa Rais kuwa Rais wa JMTZ ameagiza fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya sherehe ya muungano wa TANGANYIKA NA ZANZIBAR zigawanywe kwa usawa, usawa upi! Mathalani zikiwa ni bilioni 2 0 tsh. Je Zanzibar wapewe bil.5 hali kadhalika Tanganyika!? Ikiwa Zanzibar ina idadi ya...
  4. NTWENONU

    JamiiForums Tanzania Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K

    Katika nchi ya watu walio sawa na huru na inayofuata msingi wa binadamu wote kuwa sawa na kwamba hakuna mtu aliye juu ya sheria inakuwaje kuna ubaguzi wa wazi namna hii!? Hii ni rushwa ya wazi kwa wawakilishi wetu ili wasiweze kuikosoa kwa uwazi pale inapotakikana kufanya hivyo. Kila mara...
  5. NTWENONU

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waibuka na madai SABA hukumu ya wakurugenzi kutosimamia uchaguzi

    Kwenye masuala yenye afya kwa usitawi wa Taifa letu si vema kugawanyika kama tu Wazalendo kweli. Sulala la Tume huru ya uchaguzi linapaswa kuwa ajenda yetu sote bila kujali vyama vyetu kwanza. Vyama vyetu vipendwa vyaweza kufa lakini Tanzania itabaki. Tuunge mkono hoja hiyo kwani CCM tunaogopa...
  6. NTWENONU

    JamiiForums Tanzania Kairuki aeleza sababu wawekezaji kutimka

    ulosema ni kweli tu mkuu.
Back
Top Bottom