Recent content by Ntolonyonyo

  1. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania UN: Watu milioni 10 waikimbia Ukraine

    Si nasikia wanashinda vita hawa na kumchachafya mrusi..mbona wanakimbia tena???
  2. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania Chechen imepoteza jenerali wake, ni mojawapo wa majenerali ambao wameuawa Ukraine

    Sasa mlitaka nani wafe...washinde vita..waache maneno na ujinga..raia wanaumia
  3. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania Urusi yatumia kombora la kisasa la hypersonic, huko Ukraine

    Marekani alimtandika Japan nuclear na akaua malaki ya watu pamoja na effects lkn sasa hivi ni marafiki wakubwa....yaani ni zaidi ya marafiki. Ujerumani ilichinja zaidi ya jews 6M..saizi life as usual...
  4. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine

    Mnataka wateketeze watu kisha dunia iseme wameua watu wasio na hatia...mbona vitu vingine ni akili ndogo tu.....Hivi unafikiri walishindwa kupiga makombora ovyo..mji wote ukakaa....vita inahitaji akili pia...You can win the battle but you can loose the war....
  5. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine

    Sasa si Ukraine washinde vita....sababu si faida kwao...au Ukraine wanataka nini tena?
  6. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukraine imeishapotea...
  7. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zitashinda vita na Urusi, Magharibi wanapigana kisayansi Putin yatamkuta ya Saddam Hussein muda sio mrefu

    Unajichosha tu aisee...hivo vita UKRAINE anaumia sana..miundo mbinu etc...Na hawezi kuchomoka kirahisi..ndo maana anaonewa huruma na kusaidiwa sana... Hivi vita vimetokea sababu ya ubabe wa viongozi wa sasa..pande zote mbili WESTERN ikiongozwa na NATO na US pamoja na Urusi pia..lkn anaeumia ni...
  8. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania Hiki kifaa cha NLAW kimekuwa mateso kwa vifaru vya Warusi

    Hahaha naona wakenya mnapambana kumtetea Ukraine na USA...kama vipi nendeni mkajitolee kushika mitutu kabisa...
  9. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

    Hahsha..mwamba wampe ajira tu
  10. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu

    Huyu mzee wetu nae akae kwa kutulia tu....asiwe na upande
  11. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania Putin anaonya nchi za Magharibi: Urusi itaibuka kama taifa lenye nguvu zaidi

    Ntarudi baada ya miezi 3
  12. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

    Wao mbona misikiti inajengwa kila kona...tena kwenye makazi ya watu..lkn watu wala hawajali... Zile kelele za vipaza sauti mbona tunskausha tu
  13. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania Binadamu wa kwanza kupandikizwa moyo wa Nguruwe, afariki Dunia miezi 2 toka apandikiziwe

    Mungu fundi sana...kuna nguruwe na binadamu...
  14. Ntolonyonyo

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Elfu 11???...hata BBC hawajasema hii...bila shaka upo ndani ya Kiev kabisa...
Back
Top Bottom