Chechen imepoteza jenerali wake, ni mojawapo wa majenerali ambao wameuawa Ukraine

Hii taarifa ya mleta mada ni ukweli kwa asilimia mia moja kwani hata mimi nimezifuatilia kwenye vyombo mbalimbali vya habari vyenye kuaminika ila shida ya watanzania ni uvivu wa kusoma, kukariri na ushabiki maandazi.

Putin amepata hasara kubwa ambayo inazidiwa tu na ile waliyo pata kwenye WW II na hii vita aliyoanzisha ndio itahitimisha utawala wake wa kiimla.

Hadi hapo Mrusi amefeli tactically and strategically....

Tactically - alidhani rais wa Ukraine ataikimbia nchi kiasi cha yeye Mrusi kupandikiza uongozi wake humo
Strategically - kafeli mbaya mno maana uchumi unaendelea kuangukia pua, anarudishwa nyuma kwa third world countries, dharau sasa zitazidi
 
Huo ni uongo, kwamaana habari tunapata za upande mmoja,vp majenerali wa Ukraine ambao wamzingirwa watakuwa wamekufa wangapi?shida ya Ukraine imebebwa na vyombo vya habari,,Kuna siku tutakuja kuambia Ukraine imeisha yote,haiwezekani jeshi Kama la urusi iwemo ndani ya nchi yenu siku 23 abaki salama,

Cjui mtu anajisikiaje kutuletea taarifa za uongo,,,alafu mtu anawezaje kushabikia nchi zinazohalalisha mashoga!! Aibu mno 😁
 
Back
Top Bottom