Recent content by NTIYAMWA

  1. N

    Serikali yazifutia usajili Taasisi zisizo za kiserikali (NGO) 24

    Inawezekana wakawa na mkono wa Birika mashirika haya.
  2. N

    Kigoma sio ndondocha

    Ukiwa na uwezo mdogo wa kufikiri, unaweza kusema lolote linalokuja kinywani mwako bila kulitafakari kwanza. Haya tuanzie kwenye familia yenu kuna wasomi wangapi?
  3. N

    Aisha Aliyechomwa na mama yake wa kambo mwaka 2006, sasa hivi anaingia chuo kikuu

    Ni mipango ya Mungu kumwonyesha mwanadamu ya kuwa yeye si chochote.
  4. N

    Anna Tibaijuka aeleza kisa kizima kuhusu kufukuzwa kazi ya Uwaziri

    Kwani nchi hii ccm imeamua kuifanya kuwa kichaka cha kijichotea mihela. Unamlipa mtu mmoja mshara wa 11m kwa mwezi huku Waalimu na Wauguzi wkiendelea na kilio cha ongezeko la mishahara yao?
Back
Top Bottom