In all strongest terms, we condemn any form of religious discrimination as depicted in this video clip. Religious intolerance stands in direct violation of fundamental human rights, dignity, and the principles of peaceful coexistence. Every individual has the right to worship freely, without...
Umeandika nini? Yaani Taifa hili limekosa critical thinkers. Honestly, this is rubbish. Mtu unatakiwa ukae chini utizame mambo katika mizania mipana na siyo hiki vijana mnachofanya.
Suala la matumizi ya nishati safi ni jambo jema. Kikubwa acheni kuweka siasa kwenye mambo ya nayohitaji utaalamu tunalipoteza Taifa. Tutumie wataalamu katika mambo haya. Sitaki kuongea sana.
Hivi wewe, ebu leo niulize, hizi hoja unazoleta siku zote huwa umezichakata vizuri? Malengo yako huwa ni kutafuta nini? Hivi background ya kitaaluma yako ni ipi? Je, ni shule ipi ulisoma au chuo kipi ulisoma?
Kwa ujumla hiki ninachokiona kina niuma kweli kuona aina ya kijana kama wewe. Hata...
"Pole kabisa, naona mchango wako umejaa siasa za kawaida tu, badala ya kuona hali halisi ya vyuoni hapa Tanzania. Hivi, kweli mnaishi kwenye jamii yetu au mnaishi kwenye vacuum kiasi kwamba hamna interaction na jamii? Kwa nini msijaribu hata kufika vyuoni, kuzunguka, kuzungumza na wanazuoni, ili...
Pamoja na changamoto zote, lakini MCHENGERWA anao unafuu kuliko Prof Mkenda. Yaani kiukweli kabisa hawa wengi wa Maprofesa binafsi sielewi utendanji wao. Ongezea Prof Kitila.....yaani maneno mengi bila utendaji. Wagumu wakushaurika @ Mama Samia, Rais wetu........ebu ikikupendeza hawa watu...
Introduction
The Tanzania Bureau of Standards (TBS) plays a crucial role in ensuring food safety and quality in Tanzania. Recent discussions regarding the use of ethylene gas for ripening bananas in Dar es Salaam highlight the need for transparency and consumer safety. Ethylene, a natural plant...
Your Excellency, Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania. With utmost respect and courtesy, I extend my greetings to you. I wish to present my recommendations for the restructuring of our country's education system, specifically through the establishment of two...
Kuna taarifa nyingi sana huko duniani zinamhusu huyu Adan. Hao waliotoa taarifa zake ni waongo?? Guys , lets be serious. Ebu tuwekeeni maslahi ya nchi mbele kwanza na siyo hii mizuka inayotupanda. Serikali ni watu. Hivyo, ebu tuishauri serikali kwa hekima na siyo kukurupuka. Kafulila ni binadamu...
Yaani nimeendelea kucheck haya mawazo yako tokea asubuhi hadi usiku huu. Nimetafakari sana na sasa nahitimisha kuwa tatizo lako ni " lishe katika kipindi cha miaka mitano utotoni" . Hii ni sababu tosha inayoweza ku-describe uwezo wa kufikiri kwa watu wa aina hii. Long-Term Cognitive Deficits...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.