Recent content by Ntinginya Machalo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kigamboni ni hasara kwa Taifa, TAKUKURU tia timu

    Majungu. Hayo acha serikali ifanye kazi yake.....
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mabalozi mkiona tatizo msiandike tena mitandaoni, nendeni kwa Waziri

    Kweli asee....[emoji736][emoji736][emoji736]
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu Dar: Bodi ya Wadhamini ya Prof. Lipumba yashindwa kesi

    Ayaaaa wakate rufaa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Malima awasha moto akidaiwa kumuweka ndani diwani Chadema kwa kukunja nne

    Hiyo safi tatizo hii mi chadema haijafindishwa heshima kuwa karibu na viongozi....wengine watajifunza.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amjibu Job Ndugai Njia ya Muongo nifupi sana

    Yaani hiyo 250M ni ndogo????? Jamani mtuonee huruma cc wananchi wanyonge.....
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania imetimiza hatua zote 4 kuwa nchi ya kidikteta

    Mlisema JK dhaifu. Tulieni bado mtakaa vizuri tu....
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

    Hawa wazungu ni wanafiki sana....mbona Trump huwa ikifika hoja ya mazingira kwenye vikao vyao G 20 sijui G ngapi huko huwa anatoka na hakubaliani na matakwa ya mazingira????.....cc huku ndo shida.....? JPM tekeleza mradi huo at any cost.....
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zaidi ya Nusu Wajumbe Kamati ya Maadili Kujiuzulu Kabla ya 21/1

    Bangi za kuvutia chooni shida sana....
  9. N

    JamiiForums Tanzania Alichokizungumza kwenye mapokezi ya ndege sicho walichotegemea kusikia

    Huo ni utani....na huyo ni mtani wake hapo safi tu.....
  10. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Godbless Lema: Afisa Biashara wa Jiji la Arusha amesema kuwa Mwaka huu 2019 kuna Barus za Kufunga biashara zaidi ya 650

    Kumbe siyo Tz ni nchi ya Zimbabwe [emoji1269]....ngoja niendelee na mambo yangu...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna uwezekano wa Mbowe na Matiko kuachiwa kabla ya March 2019

    Ili wajifunze kuheshimu mahakama
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na kikokotoo: Bingwa wa kutengeneza matukio na kujitokeza baadaye kama mkombozi

    Mijitu haina shukran shida sana....wananchi wamelalamika kuwasililiza na kutatua....leo mnasema ni kiki....
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji tena Rais aliyesoma masomo ya sayansi

    Wapigaji naona manaisoma namba vilivyo.....shubamit....JPM.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Fastjet wazuiwa kuingiza ndege mpya. Wanyimwa vibali, watakiwa kuondoka

    Acha kuleta uwongo wa kitoto....mzandiki na mnafiki.....
  15. N

    JamiiForums Tanzania PIC: Kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) imejiendesha kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo

    Uwongo mtupu......acheni kuzusha uwongo na mnatumika na mabeberu na makabaila...leo ATC ni kimbilio la wanyonge na inafanya kazi kwa tija kubwa.....
Back
Top Bottom