Recent content by Ntemwi

  1. N

    Namna ya kufanya configuration ya universal pocket Wi Fi

    Asante kwa maelezo yaloshiba kiongozi najaribu njia ulizonipa, nitatoa mrejesho.
  2. N

    Namna ya kufanya configuration ya universal pocket Wi Fi

    Habari wanafamilia wenzangu naomba msaada namna ya kuseti configuration ya wifi zinazopokea laini zote, nikiweka laini na kulog in inakubali ila inanipa ujumbe wa connected without internet lakini laini ina kifurushi, msaada wa kunivusha hapa.
  3. N

    Habari wadau naomba mwenye key za kuresset ink pad za Epson L3250

    naomba mwenye key za kuresset ink pad za Epson L3250
  4. N

    Mwenye torrent link ya kudownload WINDOWS10 activated msaada please

    Msasada tafadhali, naomba njia ya kuactivate windows 10
  5. N

    Msaada: Photocopy machine yangu imeshindwa kutambulika kwenye desktop

    Angalia kebo inayotoka kwenye desk top kwenda kwenye printer intakuwa imepata hitilafu,, mm nshasumbuka kumbe shida ilikuwa waya tu huo.
  6. N

    Wapi naweza kupata betri ya Laptop aina ya ASUS 550L

    Naweza pata wapi na kwa Tsh ngapi battery ya Laptop aina ya ASUS 550L
  7. N

    Naomba msaada jinsi naweza nikatumia dish moja(azam) kwa ving'amuzi viwili tofauti

    Hiyo inawezekana kwa kufanya ya kwa kupata LNB yenye matundu mawili ya kufungia nyanya au unatafuta multpapas plag inayofungwa kwenye lnb moja hapo kazi inakuwa imeisha.
  8. N

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Habari, nilifanya kurejesha laini yangu ya cm iliyopotea Kwa kufuata hata zote lakini mpaka sasa siku ya tatu haijaanza musoma...msaada Tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

    Jaribu kupunguza angalau nusu ya maji yaliyo kwenye betry halafu nunua angalau chupa 3 za maji Makali halafu yatiye..baada ya hapo ichaji itadum kwa muda kias Kama miez 4 zaid au pungufu..mm nilijarb ikafanya kazi.. Usiogope kujaribu ndo kuweza.
  10. N

    Kwa wale wanaotokea Kondoa; Tujadiliane kuhusu maendeleo ya wilaya yetu

    Kuna fursa nyingi kwa mkulima na mfugaji, mashamba mengi hayahitaji mbolea Bali mbegu bora unatusua kimaisha kwa haraka Sana.... Nimetembelea maeneo mengi kule mrijo, Matui, mwaiksabe, chembalo, songolo, itolwa, soya, kimeji n.k
  11. N

    Hatimaye local channel kwenye Startimes ni bure kwa wote

    Amaa kweli hii ni natanga njia, mm mwanzoni nilikuwa natumia zuku nikaitupilia mbali baada ya Azam kuja na local chanel za bure kama mwaka wakasitisha nikahamia startime nao walikuw wanatoa ofa ya mwaka sasa hv imeisha cjui hata nirudi wapi au niendelea mpaka nimalize makampuni yote?
  12. N

    Hatimaye local channel kwenye Startimes ni bure kwa wote

    kwangu hakuna hata moja inayokamata hawa jamaa siyo.
Back
Top Bottom