Recent content by Ntemi_Ntale

  1. Ntemi_Ntale

    JamiiForums Tanzania Wakuu mnawezaje kuwavumilia wanawake ambao hawana kazi?

    Kuna Muda Nikimuona Mwanamke wangu ananisogelea akiwa mpole sana Na Kuniita majina Matamu kama “Mume wangu Kipenzi ,My Chulululilu, Baba watoto wangu..” Najua tayari sentensi inayofuata ni “Naomba….” Wakuu Mwanamke asiyekuwa na kazi ni Mzigo Mkubwa sana ,Shida zake ni kama seasons,Ukimaliza...
  2. Ntemi_Ntale

    JamiiForums Tanzania Imagine kutumia miaka 4 chuo halafu ugundue CV yako inafanana na ya kila mtu!

    Siku Hizi Watu Hawaandiki CV kutoka Kichwani ,Wanatumia AI ,Sasa Assume umesoma Course Moja na Mtu Mwingine Kasoma the same Course ,Nenda Kaiambie AI ikutengenezee Hio Cv ,Usually Mtapata majibu sawa .Sasa swali ni kwamba Unawezaje kujitofautisha?
  3. Ntemi_Ntale

    JamiiForums Tanzania Imagine kutumia miaka 4 chuo halafu ugundue CV yako inafanana na ya kila mtu!

    Kila mwaka... Maelfu ya wanafunzi wanahitimu. Wote wana... Degree CV Coursework inayofanana ______ Sasa waza...Wewe Ni recruiter umemaliza ? Kama Umesema Ndiyo...lets assume Una CV 500 mezani Una dakika 2 tu kuchuja Nani ataonekana? ________ Kama kila CV inafanana... Wewe utajitofautisha vipi...
Back
Top Bottom