Recent content by ntawavyei

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mama Tibaijuka kajitoa JamiiForums? Tunaomba Debate na Tibaijuka

    acheni maneno ya kinafiki jaman tusiwe kama watu tusioelewa mambo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mama Tibaijuka kajitoa JamiiForums? Tunaomba Debate na Tibaijuka

    ina maana yeye hana pesa zake...iyo hela ya mboga ata yeye anayo nyie mmemweelewa vibaya mama wa watu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka kamfunge Mbwa kwanza ndo uje kuswali

    mtoa mada huna unachokijua kaa kimya...hayo yote ni maneno tu hata kwenye kanga yapo na hakuna anaejua ukweli kuhusu hilo acheni kuandika mambo kwa kufurahisha umati.Uyo mama mnampaka tu maneno yenu na hatafika popote kama ukweli utajulikana msianze kumhukumu wakati hata Mungu hajaanza kumuhukumu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    sikuzote ukweli utabaki palepale...ukweli haujifichi utaonekana tu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    ukweli utabaki kuwa ukweli siku zote....
  6. N

    JamiiForums Tanzania Viatu vya prof. Tibaijuka havimtoshi Lukuvi

    hajajichafua amechafuliwa na watu ambao hawajui lolote wanasikia tu na kuongea kashfa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Profesa Tibaijuka anaweza kushtakiwa kwa money laundering?

    inasemmekana tu hakuna aliyeona na kama zilitolewa bado zinatumika kunufaisha shule na watoto wengine wenyeuwezo mzuri kimasomo lakin hawana uwezo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    kwan sehemu yoyote ya kaz sifa inakuwa nini si utendaji wako
  9. N

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    wala sio kama anahangaika bali kuna watu wanajua ufanyaji kaz wake ndio maana wanamtaka lakin haangaika...kwa mtu usiye muelewa utaona ana hangaika
  10. N

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    jaman kama ukwel unajulikana na upo basi hakuna haja ya kumsema mwanamke wa watu....cha msingi ni kujua ukwel ni upi na sio kupoteza mda kuongea maneno ya ovyo na ambayo hayana mantiki
  11. N

    JamiiForums Tanzania Viatu vya prof. Tibaijuka havimtoshi Lukuvi

    Kutembea peku si shida...swali ni sehemu gani. Unatembelea???
  12. N

    JamiiForums Tanzania Viatu vya prof. Tibaijuka havimtoshi Lukuvi

    Sio viatu tu havimtoshi hata mavazi mengine pia hayamtoshi wala kumfaaa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Viatu vya prof. Tibaijuka havimtoshi Lukuvi

    Maneno ya watu ndiyo yanayo yanamchafua,watu kuongea bila kufikiri wanachotaka kuongea
  14. N

    JamiiForums Tanzania Viatu vya prof. Tibaijuka havimtoshi Lukuvi

    Hiyo picha unayoovuta kichwani kwako ya kuwa "tibaijuka ni mama flani mwizi na fisadi asiye ata na tone la huruma" ni mawazo yako ya kimaskini kwa taarifa ni mama na mwanamke mwanamapinduzi anaependa kusaidia watu na pia ni msaada mkubwa kwa baadhi ya watu.kuna watu wanasoma na wengine wana...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Viatu vya prof. Tibaijuka havimtoshi Lukuvi

    Hiyo picha unayoovut kichwani kwako ya kuwa "tibaijuka ni mama flani mwizi na fisadi asiye ata na tone la huruma" ni mawazo yako ya kimaskini kwa taarifa ni mama na mwanamke mwanamapinduzi anatependa kusaidia watu na pia ni msaada mkubwa kwa baadhi ya watu.kuna watu wanasoma na wengine wana...
Back
Top Bottom