Recent content by Ntare

  1. N

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Kimsingi suala zima la nishati ya umeme linahitaji kuundiwa mkakati wa kudumu.Serikali ifanye umuzi mgumu kama anavyosema Mh.Kabwe lakini uamuzi huu uwe ni wa kuwekeza katika vyanzo vya umeme tulivyokuwa navyo Gesi songosongo,makaa ya mawe n.k tatizo ni lack of good governance,ufisadi na...
  2. N

    Kanumba ndani ya Big Brother House 2009

    Aya bwana wengine wanasema kiingereza kwa wabongo ni janga la kitaifa sasa wakulaumiwa nani? mtu yeyote asiye na mazoea ya kuongea kiingereza au kukitumia mara kwa mara yanaweza kumkuta ya Kanumba na sisi wabongo ndio hivyo tena......
Back
Top Bottom