Recent content by Ntambirweki again

  1. Ntambirweki again

    JamiiForums Tanzania Polepole kaumizwa na mwizi aliyemficha yeye mwenyewe

    Yeah, yaani watanzania huwa ni bendera fuata upepo, Lowasa alichafiliwa sana na CDM lakini alipotoka CCM walimkumbatia na kumtupilia mbali Dr.Slaa, leo wanamsema Samia lakini angetangaza leo kuhamia kwao atapewa form ya kugombea siku hiyohiyo. Ko tumesahau kabisa uongozi wa Polepole kipindi cha...
  2. Ntambirweki again

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

    Too late to speak
  3. Ntambirweki again

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru, usomapo andiko hili mara moja hapo Msibani kwa Ndugai, chukua hatua mara moja za kulinda uhai wako

    Acheni mambo ya ajabu, nimepoteza ndg,jamaa na marafiki kijijini ambapo si wanasiasa ila utaambiwa kalala amekutwa amekufa,usimpangie Mwenyezi Mungu namna ya kuchukua mja wake, hata mimi na wewe hiyo Oktoba uisemayo huenda tusiione
  4. Ntambirweki again

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasikitishwa na kifo cha Spika Mstaafu Job Ndugai, Yatuma salamu za Rambirambi

    Huyu ndo alikuwa wa kukosoa utendaji wa Samia?
  5. Ntambirweki again

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina na Kalikawe ni wagombea urais kupitia Act Wazalendo

    Udhaifu wao ni kushindwa kuandaa viongozi bali hutegemea makapo ya CCM
  6. Ntambirweki again

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Ila waandishi bwana,alizaliwa mwaka 1963 na alianza elimu ya msingi mwaka 1991
  7. Ntambirweki again

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yatoa Siku Saba CCM kujieleza, uteuzi wa Samia kugombea Urais

    Acheni upuuzi,kwani kudai haki kunahitaji chama?
  8. Ntambirweki again

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yatoa Siku Saba CCM kujieleza, uteuzi wa Samia kugombea Urais

    Huyo aloenda mahakamani mbona hakufanya hivyo Lowasa alipochukua fomu ya CHADEMA 2015?
  9. Ntambirweki again

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Luhaga Mpina kuongea na Vyombo vya Habari

    Hao ulowataja wana umaarufu kimzidi mrema wa 1995, au lowasa wa 2015? Potezeni muda kwa kujifariji
  10. Ntambirweki again

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Wajumbe kupindua Meza ya Genge la Samia, imewafanya Waitishe Mkutano mitandaoni ili kurekebisha Katiba Imfae Samia na Genge lake !

    Kwa hiyo mtandaoni hoja haisikilizwi? Wakati wa mkutano wa mwanzoni mea mwaka huu mbona hakupinga ambapo mkutano ulikuwa wa moja kwa moja? Lakini mimi na wewe tunajua ni kipengele gani cha katiba kinaenda kurekebishwa? Turuhusuni muda ufanye kazi yake ndg zangu
  11. Ntambirweki again

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mavunde kuwania ubunge jimbo jipya la Mtumba, atoa sababu tatu za kuiacha Dodoma mjini

    Kwamba asipokuwepo yeye hizo barabara hazimaliziki au?
Back
Top Bottom