Recent content by ntakisigae

  1. N

    Uliza chochote kuhusu Rwanda

    Mimi ningependa kuuliza Rwanda kama naweza kupata mshirika wa kilimo biashara Rwanda hasa kwa mazao muhimu ila adimu Rwanda.Asante.
  2. N

    INAUZWA Mbegu za majani ya n’gombe,mbuzi na kondoo.

    Nauza mbegu za majani ya n’gombe ,mbuzi na kondoo. Jihakikishie malisho na usalama wa chakula kwa mifugo yako. Panda malisho hata kama eneo lako ni dogo. Mbegu ni nzuri na inahimili ukame na inamea kwenywe ardhi yoyote. Msimu wa mvua za vuli umekaribia kwa ukanda wa pwani na Dar es Salaam. Weka...
  3. N

    INAUZWA Misumeno na yenye ala inauzwa

    Misumeno na yenye ala inauzwa. Ni mikali na imara sana. Inafaa sana kwa shughuli za nyumbani,kambini,ufundi. Inafaa pia kukatia pemba za ng’ombe na mbuzi. Wahi ofa hii katika bei ya shilingi 10,000/= kwa mmoja. Misumeno ipo kumi kwa sasa, na inaweza kutumwa popote nchini kwa uaminifu mkubwa...
  4. N

    Plot4Sale Kiwanja kizuri kwa biashara kinauzwa wilaya ya Kigamboni,Dar es Salaam.

    Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani. Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi, kiwanda cha saruji(sementi), mahoteli, fukwe,vituo vya mafuta,viwanda vya matofali,n.k. Eneo lipo...
  5. N

    Karibu ujipatie mashine ya kupiga dawa shambani

    Habari gani wanaJF, Mashine za kupiga dawa zinapatikana. Inafaa kupiga dawa kwenye magugu na kukupiga kwenye miti (mikorosho,miembe n.k) na mazao mbalimbali kuzuia kuvu na wadudu. Na pia kupiga dawa maghalani, maofisini, majumbani. Inaweza kutumia sulphur ya unga na dawa za maji. Ina ujazo...
  6. N

    INAUZWA Mashine ya kupiga dawa inauzwa, bei 230000/

    Mashine ni mpya kabisa,haijatumika. Inafaa kupiga dawa kwenye magugu na kukupiga kwenye miti (mikorosho,miembe n.k) na mazao mbalimbali kuzuia kuvu na wadudu.Na pia kupiga dawa maghalani ,maofisini,majumbani. Inaweza kutumia sulphur ya unga na dawa za maji. Ina ujazo wa lita 20 na inatumia...
  7. N

    Plot4Sale Eneo ukubwa wa nusu eka linauzwa Mkuranga, Pwani

    Eneo lipo Mkuranga mjini-Jirani na kituo cha Mafuta cha Panoni, kama mita 600 kutoka barabara ya lami. Panafaa kwa kuweka makazi. Panafika kwa gari, umeme na maji ya Dawasco vipo mita chache. Eneo lina miti mbalimbali kama: 1. Minazi (20)na michikichi-imepandwa pembezoni kama fensi 2. Miembe...
  8. N

    Plot4Sale Kiwanja kizuri linauzwa Kigamboni,Dar es Salaam.

    Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani. Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi, kiwanda cha saruji(sementi), mahoteli, fukwe,vituo vya mafuta,viwanda vya matofali,n.k. Eneo lipo...
  9. N

    Plot4Sale Eneo la biashara linauzwa wilaya ya Kigamboni, Dar es Salaam

    Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani. Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi, kiwanda cha saruji(sementi), mahoteli, fukwe,vituo vya mafuta,viwanda vya matofali,n.k. Eneo lipo...
  10. N

    INAUZWA Vifuatavyo vinauzwa, mmiliki anahamia nchi nyingine

    Mgeni kutoka Ubelgiji amevitumia chini ya miezi miwili na anaviuza kwasababu anahamia nchi nyingine. 1.Shelfu ya chuma- tsh100,000/= 2.Meza ya chuma ya jikoni-100,000/= 3.Mtungi wenye gesi kilo15(oryx)-100,000/= 4.Rice cooker (west point)-120,000/= 5.Mapazia6 na miti yake-80,000/= 6.Jiko la...
  11. N

    INAUZWA Senyenge (barbed wires) zinauzwa bei poa

    Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600 na senyenge ina unene wa milimita 1.6. Inafaa kwe fensi ya nyumba, maboma ya mifugo, shamba nk. Bei kwa rola moja ni 110,000/=. Zimebaki rola3 Mawasiliano: 0685381338. Napatikana Mkuranga, Pwani.
  12. N

    INAUZWA Senyenge (barbed wires) zinauzwa bei poa

    Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600,na senyenge ina unene wa milimita1.6. Inafaa kwe fensi ya nyumba,maboma ya mifugo,shamba,nk. Bei kwa rola moja ni 110,000/=.Zipo rola4. Mawasiliano: 0685381338. Napatikana Mkuranga, Pwani.
  13. N

    INAUZWA Nyaya za senyenge (barbed wire) zinauzwa bei poa

    Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600,na senyenge ina unene wa milimita1.6. Senyenge hizi hazishiki kutu(galvanized). Inafaa kwe fensi ya nyumba,maboma ya mifugo,shamba,nk. Bei kwa rola moja ni 110,000/=.Zipo rola7. Mawasiliano:0685381338.Napatikana Mkuranga,Pwani.
  14. N

    Plot4Sale Kiwanja Kizuri kwa biashara kinauzwa Kigamboni, Dar kwa mil4.5

    Kiwanja kipo Kimbiji kwa Moriss,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa ni mita20 kwa 20. Kipo jirani na barabara kuu lakini nje ya mawe ya hifadhi ya barabara.Kipo jirani na ufukwe(beach). Panafaa kwa minara ya simu,fremu za maduka, mashine za kusaga,duka la hardware,hoteli ,baa,kufyatulia na kuuzia...
Back
Top Bottom