Recent content by Ntahandinkimuhila

  1. Ntahandinkimuhila

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Niliappeal lakini sijapata tena, naona mwaka huu imeshaniwia vigumu sana kusoma. Ngoja nisubiri intake ya March 2026 panapo majaaliwa nijaribu tena. Asanteni kwa ushirikiano ndugu.
  2. Ntahandinkimuhila

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Komaa kabisa mkuu, utafanikiwa !
  3. Ntahandinkimuhila

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Majibu yalishatoka kaka, ingia kwenye tovuti ya NACTVET uangalie matokeo ya uchaguzi wako kama umechaguliwa au hujachaguliwa.
  4. Ntahandinkimuhila

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Nimekuelewa bob_fundi, nitaenda kusoma kwenye chuo kimoja, ndio hivyo nimeshakosea, sikufahamu kama ni makosa kuconfirm vyuo vyote.
  5. Ntahandinkimuhila

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Nina machungu sana na shule mkuu, ndiyo maana.
  6. Ntahandinkimuhila

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Nilithibitisha vyuo vinne vyote nilivyochaguliwa, tena nilituma HESLB kuwa nitaenda kozi mojawapo ya chuo kimoja. Kwa sababu sikuwa na uhakika nilithibitisha vyote nilivyokuwa nimechaguliwa kujiunga navyo, je ndiyo sababu sijapewa mkopo nilitakiwa nithibitishe chuo kimoja tuu au ?
  7. Ntahandinkimuhila

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    :D:D:D:D Umaskini wangu ni changamoto ndugu, ndio maana ninahaha. Shule ninaitaka sana ila Hela ya kulipia ni nyingi kweli SINA !!!!! Bila mkopo wa hawa ndugu wa HESLB sitafanikiwa kusoma.
  8. Ntahandinkimuhila

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Oooooh kama wanapata sawa, sifa zipo. Oooooh kumbe muda wa kuappeal bado, vizuri. Nitafanya hivyo mkuu. Asante kwa ushauri mzuri.
  9. Ntahandinkimuhila

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Ahaaaah, sawa nitaendelea kusubiri nione. Vyuo nilishaconfirm VYOTE vinne nilivyochaguliwa mda mrefu kabla hata ya kutuma maombi ya kukopeshwa na wakuu HESLB.
  10. Ntahandinkimuhila

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Ni hicho cha binafsi chenye kozi ya diploma in Optometry. Ahaaah sawa ngoja nisubiri, kwani wanatoa lini ? Kitufe cha Appeal loan kikibonyezwa hakifunguki Hapo kwenye SIPA mpaka nibonyeze sana vile vitufe vya kwenye akaunti, haifunguki moja kwa moja. Ahaaah, asante kwa ushauri mzuri ndugu...
  11. Ntahandinkimuhila

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Sijapewa mkopo kwa sababu nina multiple selections labda mtu akiripoti chuo ndiyo anapewa mkopo ? Maana kuna msichana alihitimu kidato cha nne 2022 school candidate amepata na alichagua kozi moja tuu, akapata nafasi, Nipo njia panda ninaombeni Msaada wa ushauri au maelezo tafadhali 🙏.
Back
Top Bottom