Recent content by ntahagaye

  1. N

    JamiiForums Tanzania Pspf msaada jamani

    mkuu fafanua vizuri sijakuelewa hapa andiko lako
  2. N

    JamiiForums Tanzania Pspf msaada jamani

    mkuu mahakamani nafungua kesi gani ndugu
  3. N

    JamiiForums Tanzania PSPF msaada jamani

    Msaada jamani mimi nilikuwa mwalimu selikarini sasa nimefukuzwa kazi nilikuwa mwanachama wa PSPF nimechangia kwa miezi arobaini . Nilikuwa nauliza, je nienda kudai malipo yangu ntalipwa pia nilikuwa nataka kujua calculation inakuaje ya malipo hayo.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Pspf msaada jamani

    Msaada jamani mimi nilikuwa mwalimu selikarini sasa nimefukuzwa kazi nilikuwa mwanachama wa pspf nimechangia kwa miezi arobaini nilikuwa nauliza je nienda kudai malipo yangu ntalipwa pia nilikuwa nataka kujua calculation inakuaje ya malipo hayo
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mafao ya PSPF

    Mimi nilikuwa mwalimu serikalini, nimefukuzwa kazi kutokana na utoro kazini. Kwa kipindi kirefu nilikuwa mwanachama wa mfuko wa pension wa PSPF nimechangia miezi arobaini. Je, watanilipa pesa zangu? Na culculation inakuaje? Maana naambiwa kama nimefukuzwa kazi silipwi, msaada jamani.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Zanzibar: Wasiwasi dhidi ya vikao vya Maalim Seif

    nime kuelewa sana
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kuhusu Uchaguzi wa Zanjadala - Humphrey Polepole na Ismail Jussa

    Jussa asante kwa kumgalagaza huyu jamaa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    sifa za kijinga
  9. N

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia ziara ya Edward Lowassa, Kariakoo. Wapiga marufuku mgombea kupanda daladala

    Sisi tunaopanda daladala si malofa mbona wanatuzuia tena
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kurudi kazini

    Unaweza kunisaidia sababu hizo ili niweze kuandaa hiyo barua nimeshindwa kisaikolojia cko vema
  11. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kurudi kazini

    Hapana
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kurudi kazini

    Nilinyimwa ruhusa ya kwenda kusoma nikaamua kuacha kazi ili nisome
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kurudi kazini

    Hapana
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kurudi kazini

    Ndiyo mkuu
  15. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kurudi kazini

    nilikopa benki kama mbili, mshahara umesitishwa mwezi wa pili
Back
Top Bottom